Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
π€£π€£πHadi chawa wa mama mmeanza kulia lia nilizani ni wapinzani tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π€£π€£πHadi chawa wa mama mmeanza kulia lia nilizani ni wapinzani tu
π π π π π π π π π π . Na bado mpaka tuite maji mma. Uongozi bora sio kitu cha kufanyia masihala.Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku.
Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki.
Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi mliweka ruzuku Kwa nini mwaka huu hamtaki kufanya hivyo?
Wabunge mko wapi kupiga Makelele? Wari Dotto unasairiaje Wananchi? Maana Toka umeingia unatoa matamko tuu yasiyo na impacts.
--
View attachment 2771275View attachment 2771276
--
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika leo Jumatano Oktoba 4, 2023 huku bei ya dizeli ikizidi kupaa ikilinganishwa na mwezi Septemba.
Kwa mwezi huu bei za rejareja za mafuta katika
mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama ifuatavyo;
Dar es Salaam lita ya petroli ni Sh3,281, dizeli Sh3,448 na mafuta ya taa yakiuzwa Sh2,943. Tanga lita ya petroli ikiuzwa Sh3,327, dizeli Sh3,494 na mafuta taa Sh2,989.
Mkoa wa dizeli imezidi kupaa mara dufu ikiuzwa kwa lita Sh3,520, petrol Sh3,353 na mafuta ya taa Sh3,016.
Ewura imetaja sababu ya mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Oktoba 2023 ikiwa ni kupanda kwa gharama za bidhaa hiyo katika soko la dunia kwa hadi kufikia asilimia 4.21 na gharama za uagizaji kufikia asilimia 17 kwa petroli, asilimia 62 kwa dizeli na asilimia 4 kwa mafuta ya taa.
Pia, uamuzi wa wazalishaji wakubwa wa mafuta
duniani (OPEC+) kupunguza uzalishaji na vikwazo vya kiuchumi ambavyo nchi ya Urusi imewekewa na mataifa ya magharibi
Wahini fursa, mama anakuja na wawekezaaji kibao wa kilimo.
Mambo ya mafuta yasikupe shida, Mwarubaini wake upo njiani, umeshamsikia Biteko hivi karibuni? Yuko jikoni anakaangiza mambo huko.
hii ni habari njema sana kwa wakulima aise,Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku.
Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki.
Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi mliweka ruzuku Kwa nini mwaka huu hamtaki kufanya hivyo?
Wabunge mko wapi kupiga Makelele? Wari Dotto unasairiaje Wananchi? Maana Toka umeingia unatoa matamko tuu yasiyo na impacts.
--
View attachment 2771275View attachment 2771276
--
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika leo Jumatano Oktoba 4, 2023 huku bei ya dizeli ikizidi kupaa ikilinganishwa na mwezi Septemba.
Kwa mwezi huu bei za rejareja za mafuta katika
mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama ifuatavyo;
Dar es Salaam lita ya petroli ni Sh3,281, dizeli Sh3,448 na mafuta ya taa yakiuzwa Sh2,943. Tanga lita ya petroli ikiuzwa Sh3,327, dizeli Sh3,494 na mafuta taa Sh2,989.
Mkoa wa dizeli imezidi kupaa mara dufu ikiuzwa kwa lita Sh3,520, petrol Sh3,353 na mafuta ya taa Sh3,016.
Ewura imetaja sababu ya mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Oktoba 2023 ikiwa ni kupanda kwa gharama za bidhaa hiyo katika soko la dunia kwa hadi kufikia asilimia 4.21 na gharama za uagizaji kufikia asilimia 17 kwa petroli, asilimia 62 kwa dizeli na asilimia 4 kwa mafuta ya taa.
Pia, uamuzi wa wazalishaji wakubwa wa mafuta
duniani (OPEC+) kupunguza uzalishaji na vikwazo vya kiuchumi ambavyo nchi ya Urusi imewekewa na mataifa ya magharibi
Wawekezaji ndio wameleta hizi πHao wawekezaji toka aanze kuwaleta wamefika wangapi? Haya mambo muhimu tuwe tunatanguliza hekimaπππππ
Saaafi sana sana swali ZuriHao wawekezaji toka aanze kuwaleta wamefika wangapi? Haya mambo muhimu tuwe tunatanguliza hekimaπππππ
Pitia tovuti inayohusiana na uwekezaji: TIC | HomeHao wawekezaji toka aanze kuwaleta wamefika wangapi? Haya mambo muhimu tuwe tunatanguliza hekimaπππππ
π€£π€£π€£π€£β₯οΈKabisaaa
Atakayebisha afungwe miama 100
Kodi zilikuwepo Toka awamu ya Mkapa na ndio alianza kuziweka na mafuta yalikuwa bei nafuu.BEI YA MAFUTA IPO JUU KWA AJILI YA UTITIRI WA KODI ULIOPO KWENYE MAFUTA...
NA HIZO KODI NDIO ZINAZOHAKIKISHA MISHAHARA YAO HAO WANASIASA...
USITEGEMEE...LAITI WANGEKUWA HAWAWEKEWI MAFUTA NA SERIKALI KWENYE MAGARI YAO...HII BEI ISINGEFIKA HUKU...ILA KWAKUWA WAO HAWANUNUI MAFUTA NA HATA BEI YAKE HAWAIJUI...
Unajua ruzuku ilikuwa.Bilioni ngapi?Si tulikubaliana hela za ruzuku tuwape Taifa stars na tununue magoli !!
Wawekezaji ndio wameleta hizi π
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1709445785174044724?t=GkGVCkcf9boLVCbD264IIQ&s=19
Uwekezaji mkubwa uko kwenye mining. Na sababu iko wazi, kuwa tafiti zake zimeshafanyika muda mrefu umepita. Wanataka uwekezaji sasa.Pitia tovuti inayohusiana na uwekezaji: TIC | Home
Wewe una akili finyu sana,kwanza nitajie mradi uliosimama.Halafu tunasimamisha miradi na kukopa kila uchao. Sasa hela zinaenda wapi kama zinakusanywa?
Hii inanikumbusha mwaka huu Tanesco ilitangaza kupata faida ya kufa mtu. Baada ya miezi michache wanasema umeme upo ila hautoshi na hakutakuwa na mgao. Nikagundua kama labda tumeanza ku implement mipango kabambe ya Bulicheka π π π π π
Mining ipi hiyo? ππππUwekezaji mkubwa uko kwenye mining. Na sababu iko wazi, kuwa tafiti zake zimeshafanyika muda mrefu umepita. Wanataka uwekezaji sasa.
Hawa wa bandari nao ni wawekezaji? Au kilimo, wamewekeza wapi? Siasa ni kitu kimoja...na uhalisia ni kitu kingine. lets be practical maana hii ni nchi yetu sote. Sio vizuri kudanganyana
Wabunge wakati wa kuchaguliwa, huwa ni wawakilishi wa wananchi.Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku.
Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki.
Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi mliweka ruzuku Kwa nini mwaka huu hamtaki kufanya hivyo?
Wabunge mko wapi kupiga Makelele? Wari Dotto unasairiaje Wananchi? Maana Toka umeingia unatoa matamko tuu yasiyo na impacts.
--
View attachment 2771275View attachment 2771276
--
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika leo Jumatano Oktoba 4, 2023 huku bei ya dizeli ikizidi kupaa ikilinganishwa na mwezi Septemba.
Kwa mwezi huu bei za rejareja za mafuta katika
mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama ifuatavyo;
Dar es Salaam lita ya petroli ni Sh3,281, dizeli Sh3,448 na mafuta ya taa yakiuzwa Sh2,943. Tanga lita ya petroli ikiuzwa Sh3,327, dizeli Sh3,494 na mafuta taa Sh2,989.
Mkoa wa dizeli imezidi kupaa mara dufu ikiuzwa kwa lita Sh3,520, petrol Sh3,353 na mafuta ya taa Sh3,016.
Ewura imetaja sababu ya mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Oktoba 2023 ikiwa ni kupanda kwa gharama za bidhaa hiyo katika soko la dunia kwa hadi kufikia asilimia 4.21 na gharama za uagizaji kufikia asilimia 17 kwa petroli, asilimia 62 kwa dizeli na asilimia 4 kwa mafuta ya taa.
Pia, uamuzi wa wazalishaji wakubwa wa mafuta
duniani (OPEC+) kupunguza uzalishaji na vikwazo vya kiuchumi ambavyo nchi ya Urusi imewekewa na mataifa ya magharibi
Endelea na siasa...watanzania wanaamka.Ipo siku utajikuta kumbe wewe ndio una akili finyu.Unatakakutueleza nini kuhusu kuchelewa kufanya kazi kwa SGR toka Dar mpaka Dodoma?Wewe una akili finyu sana,kwanza nitajie mradi uliosimama.
Pili Bajeti ya Nchi ni zaidi ya Trilioni 41 ,Kwa mapato hayo ya TRA hayazidi Trilioni 26 Kwa mwaka.
Sasa Kwa akili zako za kuku unadhani hizo za Juu zitatoka wapi?
Mwisho kukopa ni sehemu ya management ya uchumi yaani kiufupi kukopa ni lazima Ili ku regulate money supply kwenye uchumi.
Mining ipi hiyo? ππππ
View: https://www.instagram.com/p/CyAlVVMIJm_/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==