Wanahisi beer Ni muhimu kuliko petroliBei ya bia dar ni sawa na bei ya bia Arusha tatizo nini kwenye mafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanahisi beer Ni muhimu kuliko petroliBei ya bia dar ni sawa na bei ya bia Arusha tatizo nini kwenye mafuta
Kabisa kaka ndo wanapoelekea huko
Na Iwe ivo
Niwe na gari, au nisiwe nalo! Ina uhusiano gani na mchango wangu hapo juu?hunagari mkuu acha kutupanga
Mwanaume akiandika neno 'My' ana sound kama dume tata.Asante my
Marhaba Mchumba,vp?Shikamoo madam
Mvumilie,ndivyo alivyoNiwe na gari, au nisiwe nalo! Ina uhusiano gani na mchango wangu hapo juu?
🤣🤣🤣Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano October 04, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi October 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol ni Tsh. 3281 kwa lita, dizeli Tsh. 3448 na mafuta ya taa 2943
Mzee tusifike mbaliNiwe na gari, au nisiwe nalo! Ina uhusiano gani na mchango wangu hapo juu?
Asante kwa kunielewa [emoji16]
Ila siku nikibahatika kufika level zako walau na mimi nimiliki ka Bima nitapiga magoti na kumshukuru Mungu
Poa mchumbaMarhaba Mchumba,vp?
Wee,Sema Kweli ??😋😋😋😘😘Poa mchumba
Nimekuhamu hadi naumwaa
Mkuu achana nao hao watoto wa 2000s wengi siku hizi wana Perception disorder wanadhani wanachowaza wao ni sahihi au ni sawa na anachowaza mwingine na wanahisi kila mtu wanachomuwazia kichwani mwao ni ukweli na aanachukilia watu poa bila hata kumjua...Niwe na gari, au nisiwe nalo! Ina uhusiano gani na mchango wangu hapo juu?
Sawa bei zimepanda soko la Dunia na mambo kama hayo ila ni muda wa kuweka ruzuku.
Bora kuvuruga Mpango wa miradi 2 au 1 Tupate pesa ya ruzuku kuliko kuua uchumi mzima Kwa kuachia bei ziendelee kuwa Juu kiasi hiki.
Yaani Lita Moja kufikia elfu 4-6 Mikoani huko Vijijini haikubaliki.Mwaka.juzi mliweka ruzuku Kwa nini mwaka huu hamtaki kufanya hivyo?
Wabunge mko wapi kupiga Makelele? Wari Dotto unasairiaje Wananchi? Maana Toka umeingia unatoa matamko tuu yasiyo na impacts.
--
View attachment 2771275View attachment 2771276
--
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika leo Jumatano Oktoba 4, 2023 huku bei ya dizeli ikizidi kupaa ikilinganishwa na mwezi Septemba.
Kwa mwezi huu bei za rejareja za mafuta katika
mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama ifuatavyo;
Dar es Salaam lita ya petroli ni Sh3,281, dizeli Sh3,448 na mafuta ya taa yakiuzwa Sh2,943. Tanga lita ya petroli ikiuzwa Sh3,327, dizeli Sh3,494 na mafuta taa Sh2,989.
Mkoa wa dizeli imezidi kupaa mara dufu ikiuzwa kwa lita Sh3,520, petrol Sh3,353 na mafuta ya taa Sh3,016.
Ewura imetaja sababu ya mabadiliko ya bei za mafuta kwa mwezi Oktoba 2023 ikiwa ni kupanda kwa gharama za bidhaa hiyo katika soko la dunia kwa hadi kufikia asilimia 4.21 na gharama za uagizaji kufikia asilimia 17 kwa petroli, asilimia 62 kwa dizeli na asilimia 4 kwa mafuta ya taa.
Pia, uamuzi wa wazalishaji wakubwa wa mafuta
duniani (OPEC+) kupunguza uzalishaji na vikwazo vya kiuchumi ambavyo nchi ya Urusi imewekewa na mataifa ya magharibi
KabisaaaWee,Sema Kweli ??😋😋😋😘😘