Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

Bora wewe mwenye gari kwasababu ukiwa na mgonjwa unao uwezo wa kukodi hata gari lakini sis walala hoi unadhani itakuwaje huku vijijini pesa ya kukodi ambyurenzi?
 
🀣🀣🀣
Kuna nyimbo yangu pendwa leo naiweka Ringtone hapa...

🎢🎢TUMEIPENDA WENYEWE🎢🎢
TINTII
🎢🎢CHAGUO LETU MILELE🎢🎢
DINTII
🎢NA WAVIMBE WAPASUKE TINDIILII🎢
🎢WATAJIJUA WENYEWEE🎢🎢 TVUUUUUU
ACHA WAISOME NAMBA EEH🎢 WASOME NAMBA🎢
SISIEMU MBELE KWA MBELE...
WAACHANE WAANDAMANE EEH
🎢🎢 WAJINGA HAO🎢🎢
SISIEMU MBELE KWA MBELE...

NYIMBO TAMU SANA
 
Asante kwa kunielewa [emoji16]
Ila siku nikibahatika kufika level zako walau na mimi nimiliki ka Bima nitapiga magoti na kumshukuru Mungu

Usiseme hivo mkuu
Utaniliza[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Niwe na gari, au nisiwe nalo! Ina uhusiano gani na mchango wangu hapo juu?
Mkuu achana nao hao watoto wa 2000s wengi siku hizi wana Perception disorder wanadhani wanachowaza wao ni sahihi au ni sawa na anachowaza mwingine na wanahisi kila mtu wanachomuwazia kichwani mwao ni ukweli na aanachukilia watu poa bila hata kumjua...
Na ndio wanaoongoza kupata msongo wa mawazo kwa kufata ulimbukeni
 

Hapana washikilie Hapo hapo. Ngoja bei ipande. Ikiwezekana mara 10 na hata zaidi.



Wacha iende hivyo hivyo. Hadi wasiowaelewa kina Mwabukusi na kina Slaa watakapo kaa sawa.

Watu wapo wapo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…