Serikali wekeni ruzuku kwenye Mafuta, hizi bei kwa sasa hazivumiliki tena

Natumia diesel. Kwa 3400/= hapana aisee. Wacha tyre zioze.
 
Natamani mtu alete mtitririko wa kodi zote zilizopo kwenye lita moja ya mafuta.

Huenda kuna makodi ya ajabu ambayo yanamuumiza mtanzania tu.
 
Anayelala usimuashe..usije ukalala wewe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Endelea kusoma bajeti na utueleze hela zilizotengwa ni kiasi gani ili baadae tukuulize zile hela zimefanya kazi gani kama kazi hazijafanyika
Wewe uwe unajadili na nyumbu wenzio ndio unaweza wapotosha,Mimi sio mjinga kama machadomo

View: https://twitter.com/TaruraTz/status/1709106375349944485?t=SI5TCDouMsTGRoO2SQBqSg&s=19
View: https://twitter.com/TaruraTz/status/1709113104510923170?t=VjZHg6AhmN-2NQBkYGW1UQ&s=19
 
Kumbe muda mwingine friji lako uwa linagandisha!nikajua hii bei ya wese chawa aiwahusu!
 
Huna ulijualo wewe nyumbu ndenda kaimbe nyimbo za kusifia Mbowe huko maana hujielewi

Ushatoka nje ya mstari...unaelekea shimoni kwa speed πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ
 
Ushatoka nje ya mstari...unaelekea shimoni kwa speed πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ
Naelekea kwenye shimoni la matraaakoma Yako saizi.
 
Naelekea kwenye shimoni la matraaakoma Yako saizi.

Shida mapoyoyo wamejaa mbele wanafikiri kudanganya ndio siasa kama wewe. Ukiangalia hizi thread zako unaona kabisa ndio wale failures wametangulia mbele. Ni kuimba mapambio tu yasiyo na kichwa wala miguu.
Comrade Kinana ana wakati mgumu sana. Hamumuelewi. Ni kuikimbiza posho tu.
Ndio maana unaandika huu ushuzu unaounadika. Ukishindwa kwa hoja basi waleta viroja na matusi. Anyway, am not at that level. Ni siasa za waliokosa akili, wenye kukariri na ambao hawana lolote la maana la kuongeza.
Nasema tena, Comrade Kinana ana wakati mgumu sana
 
Endelea kumwaga povu πŸ˜‚πŸ˜‚

Lazima umpe Shikamoo Samia

View: https://twitter.com/WizarayaUJ/status/1709865058770034915?t=kidv1GlZaZ8WDV3vkAxLPQ&s=19
 
Ruzuku si bure, lazima tutakuja kuilipia kama si leo basi watoto wetu. Hii ni sawa na kulipiga kalenda tatizo. Lazima serikali ipunguze matumizi yake.
 
Ruzuku si bure, lazima tutakuja kuilipia kama si leo basi watoto wetu. Hii ni sawa na kulipiga kalenda tatizo. Lazima serikali ipunguze matumizi yake.
Hii unaelewa ulichoongea? Tuilipe kutoka wapi wakati ni Kodi zetu zinachukuliwa na kuwa ruzuku?
 
Hii unaelewa ulichoongea? Tuilipe kutoka wapi wakati ni Kodi zetu zinachukuliwa na kuwa ruzuku?
Kodi yako ni finyu sana, bajeti ya Tanzania bado inahitaji misaada toka nje. Kodi yako kama sikosei ni 60% tu ya bajeti yote. Asilimia 40 ni misaada na mikopo nafuu.
 
Unachokipinga au kukikubali ni kipi? Sijakuelewa.

Unaongelea madini? sakata la profesa Mruma na Profesa Kabudi unalijuwa?

Mruma kahenyeshwa na kijana mdogo kuhusu mikataba ya wakati wa mwendazake, mpaka akawa anatia huruma.

Kabudi nae alibanwa na waandishi wa habari akasema wazi kuwa walikuwa wanatowa takwimu za uongo kunogesha na kumfurahisha mwendazake eti wapate kujadiliana vizuri kwenye mikataba. Huyajuwi hayo?
 

View: https://www.instagram.com/p/CyC8lbttxi-/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 

Wewe hujawahi kueleweka wala hutakaa kuja kueleweka. Hamia Afghanistan ukatimize matakwa ya dini yako vizuri. Maana hata uarabuni watakukataa.
Waarabu wa leo wamesoma. Hawaendeshwi tena na propaganda za kijinga kijinga. Ni hivi, maneno yenu yamezidi kuliko matendo
Tunataka vitendo. Mkisema tunajenga daraja mjenge kweli. Mkisema tunajenga reli, mjenge kweli. Vinginevyo endeleeni kula taratibu tena kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…