Serikali wekeni sheria mtu asiingie airport bila VISA na Tiketi ya kusafiria

Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.

Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.

Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.

1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na passport ya huyo mtu anayekwenda kumpokea.

2. Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.

Airport za wenzetu huwezi kuingia kienyeji kienyeji bila hizo documents nilizotaja.
Acha UHAYA.
 
Vipi wanaofuata huduma za kibenk au kwenda kununua tiket za ndege au kubadili pesa za kigeni wao Wana comment wapi
 
Hatuna playing ground na recreation center kwa ajili ya watoto unategemea wakashangae wapi
 
Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.

Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.

Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.

1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na passport ya huyo mtu anayekwenda kumpokea.

2. Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.

Airport za wenzetu huwezi kuingia kienyeji kienyeji bila hizo documents nilizotaja.
Ushamba mzigo.
 
Sema kinachotakiwa ni kuongeza vifaa vya ukaguzi mfano, getini pale inatakiwa uwekwe mfumo wa ukaguzi mfano wa conveyor belt yaani mkifika tu geti wote mnashuka kwenye gari kisha gari inatembea kwenye mkanda ndani ya contena lenye gamma ray scanner kukagua KILA kitu kilichopo ndani dakika moja tu mnaenda lisuburi gari mbele mnapanda kuelekea parking. Kama wanavyofanya border za USA. Wanascan gari au treni nzima, baada ya watu wote kushuka.
Hii ya abiria kukaguliwa ni baada ya kupita immigration desk anaweza tokea kichaa akashusha jengo lote likawa kifusi sekunde tu.
 
Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.

Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.

Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.

1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na passport ya huyo mtu anayekwenda kumpokea.

2. Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.

Airport za wenzetu huwezi kuingia kienyeji kienyeji bila hizo documents nilizotaja.

Hizo airport za wenzako ni za nchi gani? Sio kila anasafiri anahitaji visa, maana kuna nchi unapata visa on arrival, au mtu ni mkazi wa kudum.
 
Watumishi wa Airport wenyewe wanaogopana hakuna anaemjua mwenzake aliyevalia nguo za kiraia ni usalama wa nini.

Kwasasasa wanashangaana tu wakifikiri kuwa Samia nae kaongeza Usalama wake juu ya wale waendazao.

Mimi mwenyewe siku naenda kuzurura Airport nitavaa Kaunda suti nyeusi na Kalamu mfuko wa juu na Gazeti mkononi huku nikikokota Baiskeli yangu iliyojaa madafu.
 
Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.

Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.

Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.

1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na passport ya huyo mtu anayekwenda kumpokea.

2. Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.

Airport za wenzetu huwezi kuingia kienyeji kienyeji bila hizo documents nilizotaja.
Hii hatujawahi kusikia katika airport zote duniani.

Ya Tanzania ndiyo itakuwa ya kwanza kuwa kupokea mgeni lazima uwe na kopi ya visa na tiketi ya mtu unayekwenda kumpokea.

Kila airport inazo sehemu za kupokelea wageni ambapo watu huwa wanasubiri wageni wao.
 
Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.

Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.

Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.

1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na passport ya huyo mtu anayekwenda kumpokea.

2. Mtu anayesafiri asiruhusiwe kuingia airport bila visa, tiketi na passport.

Airport za wenzetu huwezi kuingia kienyeji kienyeji bila hizo documents nilizotaja.
Naona akina dada mmezidi kwenda kupiga picha uchwara na mabegi mnajirudia vingunguti😂
 
Akili za kibaguzi, kuwa na uwezo kupanda ndege basi mtu unakuwa unakwazika ukiona wasio na uwezo wa kupanda wakiwa karibu na ndege.
 
Siyo kweli...

Utaishia hapa hapa kwenye waiting Area siyo kuingia ndani...

Unless its a special case...
 
May be kwa Sudan Airport....!

Airport zote Duniani, kuna eneo ambalo msafiri pekee ndo anaruhusiwa kufika, na kuna eneo ambalo mtu aliyemsindikiza Msafiri, ama kupokea Mgeni, anaruhusiwa kufika....!
Mambo hayawezi kwenda Binadamu anavyotaka.
 
Back
Top Bottom