Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Moderator Tafadhali unganisha uzi huu na ile mada yangu dunia inatisha sana.
 
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 55, baada ya kupata mshtuko wa moyo- hii ni kwa mujibu wa serikali ya Burundi

Mshtuko wa moyo wapi? Corona hiyo!!!
 
rest in hell

bado dictator mmoja to go..

covid do hurry
 
Tumtumikie Mungu...Huyo kaumiza wapinzani wake akijilinda wasije muua, kafa kimasihara...hata pension hajala...wallah!

Apumzike alipojiandalia!

Everyday is Saturday.........................😎
 
Poleni sana Burundi,
kafa hata pension yake nono hajaanza kuitafuna
 
Mungu ametoa mungu ametwa, rais wa Burundi [emoji1060] Nkurunzinza ametutoka.

Walio karibu wamekanusha kuwa amefariki kwa ugonjwa wa corona na kusema kuwa amefariki kwa matatizo ya shinikizo la moyo.

Ikumbukwe kuwa mke wa marehemu yupo mjini Nairobi akitibiwa ugonjwa wa corona.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…