ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Mara uniite mataga, mara dogo. Hueleweki, death is inevitable!Mbona unaumia dogo, kama kila MTU atakufa? Wenye dhambi mnaogopa sana kifo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara uniite mataga, mara dogo. Hueleweki, death is inevitable!Mbona unaumia dogo, kama kila MTU atakufa? Wenye dhambi mnaogopa sana kifo?
Moderator Tafadhali unganisha uzi huu na ile mada yangu dunia inatisha sana.Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo umetajwa kuwa chanzo cha kifo chake.
Rais Nkurunziza alizaliwa Desemba 18, 1964 na ameongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 2005 hadi mauti ilipomfika.
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 55, baada ya kupata mshtuko wa moyo- hii ni kwa mujibu wa serikali ya Burundi
Nani kamwambia kuwa anaenda motoni? Am sorry lakini nimekudharau sanaMoja Kwa moja ni motoni Tu Acha aende akakutane na wababe akina Hitler
He is untouchableDah hii ni korona. Naona kabaki arais mmoje mkaidi.
Dogo matagaMara uniite mataga, mara dogo. Hueleweki, death is inevitable!
Rambi rambi bila mchango hainogiNinatuma rambirambi na pole kwa watu wa Burundi.
Habari mbaya labda kwakoDah!...habari mbaya Sana hii mkuu maadam Rais Mteule alishapatikana huenda akaapishwa haraka ili kusitokee mvutano.
Ufunguzi wa stendi ya Dodoma unadhani kwanini imefunguliwa kimya kimyaAkisikia hii taarifa atatamani angebaki MBOCHI.
Ilisikika Tecno ikiongea.
Nitolee na mie buku.Rambi rambi bila mchango hainogi
Mimi naanza nachangia buku
Poa haya bakuli litembeeNitolee na mie buku.
Zile dollar laki 5 alizozijiwekea kama pension zijui atazikwa nazo?! 🤔Dah, kwa hiyo ule mpensheni walitungia sheria kabisa hajaula kabisa? Rest Sijui wapi Mhe!