Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Sasa hivi atarudi mbochi.Kuna mtu bado anafanya masihara na Covid 19.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi atarudi mbochi.Kuna mtu bado anafanya masihara na Covid 19.
M-tag JIWEZipo taarifa katika mitandao ya kijamii zikisema rais huyo wa zamani hatuna naye duniani tena.Je? Sisi tuliobaki tunajifunza nini? Je? Kuna mema mengi aliyoyaacha kama ilivyo kwa hayati marehemu Nelson Mandela hadi walifikia kuzunguka Nyumba yake wakimuomba Mungu asimchukue?.Au watu wake wa Burundi wanasema bora ameenda?.
Tujifunze kila kifo kinapotokea elimu haina mwisho.
Sema cha kusikitisha Afrika ndio iko vilevile haijarishi kuna dikteta au hakuna.kuna WATU WANAHISI WABURUNDI WA.M EFURAHI SANA LEO
WALIOFURAHIA N UONGOZI MPYA HUYU JAMAA ALISHAANZA KUWALETEA CHOKOCHOKO NA KAMA ANGENDELEA KUWEPO ANGEWASUMBUA SANA SANA
NAHISI WANAKUNYWA MBEGH3 IKULU LEOHII
He was a dictatorHe was a great man. Charismatic and talented who tried to bring back his country to the line while facing many obstacles
Wewe ndio uliyewaleta hapa duniani mkuu hadi useme hawana faida? Kwani wewe una faida gani?Huyu Nkurunziza afe tu kwa kweli.. Bado huyu mwenzake naye afe tu watuachie Dunia yetu. Maana hawana faida yoyote ya kuwepo kwao.
Huyo mteule mwenyewe yuko salama? Maana kipindi chote cha kampeni na logistics nyingine za uchaguzi alikuwa pamoja na marehemu. To what extent he is safe only God knows.Dah!...habari mbaya Sana hii mkuu maadam Rais Mteule alishapatikana huenda akaapishwa haraka ili kusitokee mvutano.
My foot, he was a dictator though mlokole na alikuwa anasali kwa kakobe pale mwenge yey na mke wakeHe was a great man. Charismatic and talented who tried to bring back his country to the line while facing many obstacles
Thanks for this alifanya kazi kubwa sana kwa ajili ya amani ya Burundi aliruhusu uchaguzi ufanyike katika kipindi kigumu aliweka maisha yake hatarini na kweli yakawa hatarini kwa ajili ya Burundi.He was a great man. Charismatic and talented who tried to bring back his country to the line while facing many obstacles
Jamani mbona waziri mkuu wa uingereza aliumwa nusu afe kwani nae alifanya kosa gani?Hapo kwenye kuwafukuza hao watu wa who kisa corona kesha lipwa hapa hapa duniani baada ya mkewe kuukwaa na sasa yupo hapa Nairobi anatibiwa
Duh! Shetani tena!Shetani ameshampokea jehanamu, huyu atachomwa na makaa ya mawe. Alitesa na kuumiza sana wapinzani
Thanks mzalendo for such great concern and reality about what is going to happen to those who makes jokes toward God.There're Rulers or rather dictators in Africa who are joking with God as if God is their grandpa!!! They gonna be paid dearly sooner than later. It's Just a matter of time!!
Unashangilia kwa mtu kukutwa na kitu ambacho na wewe lazima kikukute na hujui lini, sasa hivyo si vituko?Hakika.
Hata Mimi na wewe tutakufa.
Hata wanaojiona miungu watu pia watakufa.
Kifo cha Nkurunziza ni faraja kwa wapenda haki wote.. Hata huyu mwenzake akifa tutashangilia pia.
Nilidhani ujumbe wamuabudu Mungu wao?DUNIA NI MAPITO;
UJUMBE UMFIKIE MBOWE MWENYEKITI WA MILELE NA MAGUFULI ANAYEIENDESHA NCHI KAMA FAMILIA YAKE!
Wao akina nani?WAO NA WANA KINGA YA COVID 19