Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Serikali ya Burundi yatangaza kifo cha Rais Pierre Nkurunziza

Status
Not open for further replies.
Zipo taarifa katika mitandao ya kijamii zikisema rais huyo wa zamani hatuna naye duniani tena.Je? Sisi tuliobaki tunajifunza nini? Je? Kuna mema mengi aliyoyaacha kama ilivyo kwa hayati marehemu Nelson Mandela hadi walifikia kuzunguka Nyumba yake wakimuomba Mungu asimchukue?.Au watu wake wa Burundi wanasema bora ameenda?.
Tujifunze kila kifo kinapotokea elimu haina mwisho.
M-tag JIWE
 
kuna WATU WANAHISI WABURUNDI WA.M EFURAHI SANA LEO

WALIOFURAHIA N UONGOZI MPYA HUYU JAMAA ALISHAANZA KUWALETEA CHOKOCHOKO NA KAMA ANGENDELEA KUWEPO ANGEWASUMBUA SANA SANA

NAHISI WANAKUNYWA MBEGH3 IKULU LEOHII
Sema cha kusikitisha Afrika ndio iko vilevile haijarishi kuna dikteta au hakuna.
 
Huyu Nkurunziza afe tu kwa kweli.. Bado huyu mwenzake naye afe tu watuachie Dunia yetu. Maana hawana faida yoyote ya kuwepo kwao.
Wewe ndio uliyewaleta hapa duniani mkuu hadi useme hawana faida? Kwani wewe una faida gani?
 
Post yangu inajaribu tu kuangazia rais Pierre Nkurunzinza ameacha legacy gani? Burundi je? Watu watahuzunika mfano kifo cha Baba wa Taifa watu walizimia kuonyesha kuwa walimpenda sana Je ? Huyu ametuachia funzo gani?
 
Dah!...habari mbaya Sana hii mkuu maadam Rais Mteule alishapatikana huenda akaapishwa haraka ili kusitokee mvutano.
Huyo mteule mwenyewe yuko salama? Maana kipindi chote cha kampeni na logistics nyingine za uchaguzi alikuwa pamoja na marehemu. To what extent he is safe only God knows.
 
He was a great man. Charismatic and talented who tried to bring back his country to the line while facing many obstacles
Thanks for this alifanya kazi kubwa sana kwa ajili ya amani ya Burundi aliruhusu uchaguzi ufanyike katika kipindi kigumu aliweka maisha yake hatarini na kweli yakawa hatarini kwa ajili ya Burundi.
 
Hapo kwenye kuwafukuza hao watu wa who kisa corona kesha lipwa hapa hapa duniani baada ya mkewe kuukwaa na sasa yupo hapa Nairobi anatibiwa
Jamani mbona waziri mkuu wa uingereza aliumwa nusu afe kwani nae alifanya kosa gani?
 
There're Rulers or rather dictators in Africa who are joking with God as if God is their grandpa!!! They gonna be paid dearly sooner than later. It's Just a matter of time!!
Thanks mzalendo for such great concern and reality about what is going to happen to those who makes jokes toward God.
 
Hakika.
Hata Mimi na wewe tutakufa.
Hata wanaojiona miungu watu pia watakufa.

Kifo cha Nkurunziza ni faraja kwa wapenda haki wote.. Hata huyu mwenzake akifa tutashangilia pia.
Unashangilia kwa mtu kukutwa na kitu ambacho na wewe lazima kikukute na hujui lini, sasa hivyo si vituko?
 
Nkurunzinza alikuwa na kazi nzuri tu akiwa mwalimu wa chuo kikuu mauaji ya kimbari Burundi yalipoanza aliacha kazi kwenda kuongoza mapambano ya kuzima mauaji ya kimbari na akairudisha Burundi kwenye amani na utulivu na kutozalisha Tena wakimbizi kwenye nchi zetu tatizo lililotutesa miaka nenda Rudi.

Nkurunzinza alitendea haki uwezo wake kusimamisha mateso na mauaji ya warundi kwa warundi na kuweka Burundi kwenye Amani ndani ya nchi yake na majirani zake. Hakuwa mgomvi kugombana na majirani Kama wengine waliomtangulia.

Alikuwa rafiki wa kweli wa Tanzania asiyetiliwa Shaka eneo lolote toka awe Raisi.Kwa watanzania alikuwa zaidi ya rafiki Bali ndugu asiye na unafiki Wala agenda za Siri Wala dharau ya Aina yoyote kwa watanzania .Alikuwa na Roho nzuri Sana na shukrani kwa Watanzania.

Timesaidia nchi nyingi Sana za Afrika watanzania lakini Raisi pekee aliyekuwa na shukrani zisizokoma kwa watanzania Ni Pierre Nkurunzinza tu wengine wapo wapo tu na Ni Raisi aliyewaheshimiu Sana Watanzania.

Maraisi wengine Wana Cha kuiga kwake na wale wenye nacho iwe uwezo wowote wawasaidie helpless Kama yeye alivyosaidia helpless waliokuwa wakiuawa maiaji ya kimbari na kuvunja chuki za kikabila.
 
Kujifunza kuhusu kufaaa au kuhusu namna mtu aweze kutumikia Taifa lake?

Kama ni kujifunza kuhusu kifo,. Ni kujadiri kitu kilichojuu ya uwezo wetu!

Punguzeni ujinga, kwani hata atakayetoa somo hili naye hawezi kuepuka kifo, hawezi kuzisogeza Mbele siku zilizoamuliwa Kwa kufa kwake,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom