Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

Serikali ya Ghana yamuiga Rais Samia kuanzisha Tozo ya Miamala. Wabunge watwangana Makonde

Mimi nimewasifia, kusifia ni vibaya? Speed ipo vizuri
Kwanza haitoshi,tunahitaji Kukopa si chini ya til.15 kwa mwaka hasa kwa ku float eurobond Ili tuongeze ukwasi na tupunguze Kodi kuchochea uchumi by stimulating demand and investments.

Huwezi punguza VAT na PAYE kama huna pesa za kuziba income gap.
 
Wao mapendekezo yao ndiyo hayo mkuu, sasa ikitokea tunaona siyo feasible, tupendekeze yaliyo feasible. Fiscal financing si jambo rahisi kama tunavyoandika mitandaoni. Just imagine jinsi nchi ilivyo kubwa ikiwa na watumishi kila kijiji, ikifika tarehe 22-30 wote hao wanataka fungu liwe limesoma benki. Kuna miundombinu, kuna Elimu, afya nk. Tuwe rational sometimes. Mbona huku nje tunalipa sana!
Hawajui kitu hao wajinga,utakuta kuendesha tuu familia wanashindwa..

Kwa kuendesha nchi uki rely solenly kwenye contractionary policy ikiwemo kuongeza makodi na matozo hufiki utaishia kuzalisha maskini na machinga..

So options nzuri ni long term and soft loans kwa forms mbalimbali.Mama wakati anaongeza tozo it was a bit necessary in short run kwa sababu uchumi ulikuwa vibaya na madeni yameiva na pesa hakuna.

But kuanzia next year tozo atapunguza na VAT atapunguza na salaries anaongeza kwa sababu ameshapata investors na soft loans za kuziba mapengo,this will pay across in short run and long run..

Binafsi kama mwanauchumi naunga mkono sera zake hususani za kufungua Nchi au expansionary policy ila mburula wasiojua uchumi ndio wanapiga makelele ya kijinga.

Kwa taarifa yenu angeendeleza sera za Jiwe Nchi ingeanguka kuwa kama Zambambwe maana forex zilidrop to the lowest level

Screenshot_20211221-062124.png

Screenshot_20211212-084442.png

Screenshot_20211207-105903.png

Screenshot_20211209-214614.png

Screenshot_20211214-193657.png
 
Wabunge wamepgana mangumi ukumbin huko Ghana
Wamepigana kwa sababu wakati wanafurahia ma flyovers na interchanges kila Mji waliambiwa tunajenga kwa pesa zetu 😂😂,kumbe ni mikopo the likes of Jiwe.

Unfortunately licha ya investment kubwa kwenye miundombinu bado uchumi haujakua ilivyotarajiwa kama tuu miradi ya Jiwe mliyokuwa mnamsifia wakati hajafanya hata feasibility study kuona return to investment ikizingatiwa amekopa Sana.

Faida kidogo ya Tzn over Ghana ni kwamba sisi pia ni resource rich countries but tuna faida ya kuwa na population kubwa na tunazungukwa na landlocked countries so maumivu yatakuja but tutaweza kukabiliana nayo.

Kama inflation ni kubwa na wanataka waongezewe tozo kwa nini wasipigane?

Screenshot_20211216-062244.png
 
View attachment 2053063
Nahisi kuna kitu madam president hataki kukisema ila nchi ili ingia kwenye madeni makubwa, navo hisi
 
Wewe ni mjinga, nimekuwekea report mbili za April na October, ili upate difference ambayo ndio hiyo 3.6bil
Hata akili tu ya kujiongeza huna? Unatafuta sehemu walioandika billion, haitumiki hapo hapo inatumika maelfu ya milion.
Elimu yako ni ndogo Sana, report nyingine hiyo Soma hapo, najua pia hutaelewa.

View attachment 2052907
Acha kubwabwaja onyesha wapi imeandikwa usd 3.6 bilion?
 
Hawajui kitu hao wajinga,utakuta kuendesha tuu familia wanashindwa..

Kwa kuendesha nchi uki rely solenly kwenye contractionary policy ikiwemo kuongeza makodi na matozo hufiki utaishia kuzalisha maskini na machinga..

So options nzuri ni long term and soft loans kwa forms mbalimbali.Mama wakati anaongeza tozo it was a bit necessary in short run kwa sababu uchumi ulikuwa vibaya na madeni yameiva na pesa hakuna.

But kuanzia next year tozo atapunguza na VAT atapunguza na salaries anaongeza kwa sababu ameshapata investors na soft loans za kuziba mapengo,this will pay across in short run and long run..

Binafsi kama mwanauchumi naunga mkono sera zake hususani za kufungua Nchi au expansionary policy ila mburula wasiojua uchumi ndio wanapiga makelele ya kijinga.

Kwa taarifa yenu angeendeleza sera za Jiwe Nchi ingeanguka kuwa kama Zambambwe maana forex zilidrop to the lowest level

View attachment 2053042

View attachment 2053045

View attachment 2053046

View attachment 2053047

View attachment 2053048
Wewe ni mchumi wa makaratasi tu! Kuna uwezekano hata kibanda huna! Unasema Magufuli tungeendelea na sera sake nchi ingekufa kiuchumi,sasa onesha tofauti ya mama na Magufuli kwa uchumi wa watu mmoja mmoja na pia vip kuhusu kupanda kwa gharama za maisha? Pia miradi imesimama hiyo bibi ako yuko kuzurula na kulialia hata waziri wake kaenda uarabu wiki takribani mbili akitembeza bakuri lakini matokeo zero! Nyingi mliokariri makaratasi ya uchumi feki ndo mnajidai kutoa ishauri mfu!
 
Huko kuna demokrasia, wale wajumbe wa CCM kule Dodoma walipiga meza kumpongeza ‘mama’.
Hawa wa Ghana ndiyo wabunge bunge la wananchi, kule Dodoma wanaitwa bunge dhaifu sijui kama wanastahili hadhi kuitwa bunge wapewe tu majina mengine.
 
Safi sana

Kutandikana makonde muhimu inaleta heshima

Hapo lazima spika ale kona huku anasikilizia

Ova
 
Waje wajifunze kwetu

Tumepiga kelele wiki 3 baada ya hapo tumesahau maisha kama kawaida ikiwemo kutumiana miamala kwa simu kama kawa
 
Waje wajifunze kwetu

Tumepiga kelele wiki 3 baada ya hapo tumesahau maisha kama kawaida ikiwemo kutumiana miamala kwa simu kama kawa
Wanasiasa wa tz aasilimia kubwa wanaangalia kwanza matumbo yao

Ova
 
Bungeni ni uwanja wa mapambano... Hakuna kukubali vitu kiholela! #Kudos
Screenshot_20211222-110814.png
 
Back
Top Bottom