Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

Serikali ya Kenya Yatangaza Hali ya Hatari (Civil Danger)Yaamrisha Rasmi Jeshi la kenya (KDF) Kuingia Mtaani na Kutuliza Raia Wanaofanya maandamano

Yes, waziri wa ulinzi hana mamlaka hayo maana yeye ni mteule tu, mamlaka hayo yanabakia kwa amri jeshi mkuu ambaye ni Rais aliyechaguliwa moja kwa moja na wakenya.
Kama waziri wa ulinzi atakuwa na hayo mamlaka maana yake Rais hatakuwa tena na hayo mamlaka kwa sababu, huwezi kuwa na military command kutoka kwa watu tofauti tofauti, kuna hatari ya migongamano ya kiamri.

Nasema hayo from Tz constitutional perspective.
Katangaza kulingana na Sheria za Kenya Mkuu sio Sheria za Tanzania
 
Yes, waziri wa ulinzi hana mamlaka hayo maana yeye ni mteule tu, mamlaka hayo yanabakia kwa amri jeshi mkuu ambaye ni Rais aliyechaguliwa moja kwa moja na wakenya.
Kama waziri wa ulinzi atakuwa na hayo mamlaka maana yake Rais hatakuwa tena na hayo mamlaka kwa sababu, huwezi kuwa na military command kutoka kwa watu tofauti tofauti, kuna hatari ya migongamano ya kiamri.

Nasema hayo from Tz constitutional perspective.
Inawezekana huko Kenya Waziri ana mamlaka hayo
 
Too late, Rutto anavizia hela za kupeleka Polisi Haiti, kwa hiyo anataka kuonyesha jeshi lake linaheshimu haki za binadamu, Hii imesham-cost kisiasa, angeweza kuzuia maandamano mapema tu. Hii ni Afrika, inapobidi, piga rungu kweli kweli

Sasa hivi Rigathi Gachagua anachekea chooni
Ati kirungu kwa vijana wa Kenya - ha ha ha
 
Wakati mnafanya matembezi mliyoita maandamano nini kiliwazuia kufanya Fujo? 🤣🤣🤣🤣

Tanzania Huwa hailei kima ,mumeoigwa Pini Ngorongoro na hakuna mnachoweza fanya.

Narudia tena Wala haitahitaji amri ya Rais ,Chalamila anawatosha
We nawe huoni ata aibu kusema hivyo unaweza fananisha tz na kenya kwenye kujitambua kweli..
 
Back
Top Bottom