passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Zakayo yupo juu ya mti anamsubiri yesu ndio ashuke😃Zakayo kazi anayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zakayo yupo juu ya mti anamsubiri yesu ndio ashuke😃Zakayo kazi anayo
Hofu yako ni Nini kwani?Kalia hayohayo
HanaUna maanisha Waziri wa Ulinzi Hana mamlaka ya kutangaza hali ya hatari?
Katangaza kulingana na Sheria za Kenya Mkuu sio Sheria za TanzaniaYes, waziri wa ulinzi hana mamlaka hayo maana yeye ni mteule tu, mamlaka hayo yanabakia kwa amri jeshi mkuu ambaye ni Rais aliyechaguliwa moja kwa moja na wakenya.
Kama waziri wa ulinzi atakuwa na hayo mamlaka maana yake Rais hatakuwa tena na hayo mamlaka kwa sababu, huwezi kuwa na military command kutoka kwa watu tofauti tofauti, kuna hatari ya migongamano ya kiamri.
Nasema hayo from Tz constitutional perspective.
Waendelee kuwachekea harafu waambieni waandamanaji na Kesho waandamane waone moto.👇👇
View: https://twitter.com/adamlutta/status/1805631551293522369?t=trksPph0pf6ZHK7RU9KUdw&s=19
Mmh kuwa mkweli basilotakalo anzia Kenya bas litaingia Tz muda si mrefu , Kenya ni role model wa Tz
Ndiyo kashatangaza sasa na vifungu vya katiba na Sheria vimenukuliwaHana
Inawezekana huko Kenya Waziri ana mamlaka hayoYes, waziri wa ulinzi hana mamlaka hayo maana yeye ni mteule tu, mamlaka hayo yanabakia kwa amri jeshi mkuu ambaye ni Rais aliyechaguliwa moja kwa moja na wakenya.
Kama waziri wa ulinzi atakuwa na hayo mamlaka maana yake Rais hatakuwa tena na hayo mamlaka kwa sababu, huwezi kuwa na military command kutoka kwa watu tofauti tofauti, kuna hatari ya migongamano ya kiamri.
Nasema hayo from Tz constitutional perspective.
Ati kirungu kwa vijana wa Kenya - ha ha haToo late, Rutto anavizia hela za kupeleka Polisi Haiti, kwa hiyo anataka kuonyesha jeshi lake linaheshimu haki za binadamu, Hii imesham-cost kisiasa, angeweza kuzuia maandamano mapema tu. Hii ni Afrika, inapobidi, piga rungu kweli kweli
Sasa hivi Rigathi Gachagua anachekea chooni
Mkuu unataka kusema vijana wataendelea kuingia barabarani licha ya jeshi kumwagwa barabarani? Na Ruto ataachia kiti kweli?
Duh
Watu huwa wanachoka mkuu.wa kenya sio wenzetu, hapa TZ hatuwezi kujaribu hata theluthi
We nawe huoni ata aibu kusema hivyo unaweza fananisha tz na kenya kwenye kujitambua kweli..Wakati mnafanya matembezi mliyoita maandamano nini kiliwazuia kufanya Fujo? 🤣🤣🤣🤣
Tanzania Huwa hailei kima ,mumeoigwa Pini Ngorongoro na hakuna mnachoweza fanya.
Narudia tena Wala haitahitaji amri ya Rais ,Chalamila anawatosha