Tetesi: Serikali ya Magufuli kuipeleka bungeni report ya CAG Asaad kwa lengo maalum!!

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,342
Mniwie radhi ya kwamba sitawatafunia kila kitu.

Lengo ni kuhakikisha anamiminiwa sifa kutoka kila pembe ya nchi.

Bunge litaombwa kuipokea na kuijadili report ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG Prof. Asaad.

Spika ndugai atawarai wabunge ya kwamba wakubali ombi la kiongozi mkuu wa serikali, waweke kando msimamo wa azimio lao (bunge) na kukubali kuipokea na kuipa kamuda kadoooogo ka kuijadili.

Kina Jenista na vibajaji ndio watakuwa wachangiaji wakuu ambao kimkakati watatumia muda wote kumsifu na kumtukuza mfalme kwamba ana busara saaana.

Kitakachofuata ni maandamano ya kulisifu jiwe nchi nzima.

"ya nini malumbano ya nini maneno, Najiweka pembeni naepuka msongano" (sijui nani waliimbaga huu wimbo)

====ZA MOTO MOTO====
-------MTONYO UPDATES----
Leo 8/4/2019 bungeni ameelekezwa mbunge mmoja kati ya wale waliounga mkono juhudi kutoa hoja ya kuliomba bunge kuipokea riport ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali kwa masharti kuwa "endapo italetwa na mh. Rais"

Hapo ndipo meza zitakapo vunjika kwa kupigwapigwa na wabunge wa ccm na nyimbo za kumsifu na kumuabudu rais zitakapoanza rasmi.

Wakati report inapelekwa televisheni zitakuwa mubashara!!!!!
 
Mwenyekiti wa PAC ambae ndio mhusika wa Moja kwa Moja wa Reports Za CAG alitakiwa atoe Kauli yake
Ndugai anaangalia jinsi ya kum-fix.
Options zipo nyingi ikiwemo:-
Ukifanya hivi chama chako hakitafutwa nacho kitakuwa chama kikuu cha upinzani (hataambiwa "chama kikuu cha upinzani bungeni")

Mtaona sarakasi hatari!!!
 
Mniwie radhi ya kwamba sitawatania kila kitu.

Lengo ni kuhakikisha anamiminiwa sifa kutoka kila pembe ya nchi.

Bunge litaombwa kuipokea na kuijadili report ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG Prof. Asaad.

Spika ndugai atawarai wabunge ya kwamba wakubali ombi la kiongozi mkuu wa serikali, waweke kando msimamo wa azimio lao (bunge) na kukubali kuipokea na kuipa kamuda kadoooogo ka kuijadili.

Kina Jenista na vibajaji ndio watakuwa wachangiaji wakuu ambao kimkakati watatumia muda wote kumsifu na kumtukuza mfalme kwamba ana busara saaana.

Kitakachofuata ni maandamano ya kulisifu jiwe nchi nzima.

"ya nini malumbano ya nini maneno, Najiweka pembeni naepuka msongano" (sijui nani waliimbaga huu wimbo)
we umecheza sana mchezo wa draft ama kweli HUO WIMBO NI WA MSANII 20%mzee wa chanika
 
Bungeni itaenda version ile ile Au iliyohaririwa?
Swali nzuri sana, na mimi napenda kufahamu hiki kitu.

Bila shaka wataisoma kwa umakini kwanza kabla hawajaipeleka mjengoni ili wakibaini vitu wasivyovitaka vionekane waweze kuhariri wasije wakaumbuke tena kama sakata la 1.5T
 
Mniwie radhi ya kwamba sitawatania kila kitu.

Lengo ni kuhakikisha anamiminiwa sifa kutoka kila pembe ya nchi.

Bunge litaombwa kuipokea na kuijadili report ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG Prof. Asaad.

Spika ndugai atawarai wabunge ya kwamba wakubali ombi la kiongozi mkuu wa serikali, waweke kando msimamo wa azimio lao (bunge) na kukubali kuipokea na kuipa kamuda kadoooogo ka kuijadili.

Kina Jenista na vibajaji ndio watakuwa wachangiaji wakuu ambao kimkakati watatumia muda wote kumsifu na kumtukuza mfalme kwamba ana busara saaana.

Kitakachofuata ni maandamano ya kulisifu jiwe nchi nzima.

"ya nini malumbano ya nini maneno, Najiweka pembeni naepuka msongano" (sijui nani waliimbaga huu wimbo)
Nadhani tunachanganya Mambo kidogo Kwa uelewa wangu
Tukijikimbusha kidogo kabla ya Kikwete,Bunge lilikuwa halifanyi kazi Kwa pamoja na CAG ila walikuwa wanafanyia kazi ripoti ya CAG iliyoletwa na Rais Kwa mujibu wa katiba ya nchi inavyotaka
Katika kipindi cha kikwete ndio ukaja utaratibu wa CAG kufanya kazi na Bunge Kwa maana kwamba anaipeleka ripoti yake Kwa Rais pia anawajibika kupeleka ripoti hiyo ktk Bunge na pia kusaidia kamati ya Bunge inayojadili ripoti yake kutafsuri au kufafanua sehemu ambayo wanakamati wameshindwa kuelewa Kwa undani,hayo yota yanafanika bila kutajwa ktk katiba
Hivyo kilichofanywa na Bunge ni kurejea utaratibu wa awali wa kupokea ripoti ya CAG kutoka Kwa Rais wa nchi na kuijadili na kutoa maoendekezo
Na huo ndio utaratibu unaotamkwa na katiba hivyo wataendelea nao wala sioni sehemu ambayo itamlazimisha Rais kuomba Bunge wapokee ripoti ya CAG kwani ni takwa la katiba
 
Huna adabu
 
Waswahili wengi wavivu wa kufikiri, ni hatari sana.
 
Nimeuliza humu, bunge limekataa kufanya kazi na ofisi ya CAG au na prof Assad? Maana kama ni mtu (mkosaji) ofisi bado ipo ma na watendaji wengine
Report ile inaitwa REPORT YA CAG ASSAD. Huwa haiandikwi Report ya CAG.
 
Kikatiba hakuna namna ya kuzuia ripoti ya CAG iliyopokelewa hivi majuzi (tena kimya kimya) isifike bungeni..
Na wenye akili tulijua tu kuwa mchezo wa wireless supika na ofisi ya CAG ni gem inachezwa na vibaraka wa jiwe ili jiwe aendelee kuonekana ni jiwe..
Hivi mwaka huu kuna uchaguzi gani..??
 
Nadhani tunachanganya Mambo kidogo Kwa uelewa wangu
Tukijikimbusha kidogo kabla ya Kikwete,Bunge lilikuwa halifanyi kazi Kwa pamoja na CAG ila walikuwa wanafanyia kazi ripoti ya CAG iliyoletwa na Rais Kwa mujibu wa katiba ya nchi inavyotaka
Katika kipindi cha kikwete ndio ukaja utaratibu wa CAG kufanya kazi na Bunge Kwa maana kwamba anaipeleka ripoti yake Kwa Rais pia anawajibika kupeleka ripoti hiyo ktk Bunge na pia kusaidia kamati ya Bunge inayojadili ripoti yake kutafsuri au kufafanua sehemu ambayo wanakamati wameshindwa kuelewa Kwa undani,hayo yota yanafanika bila kutajwa ktk katiba
Hivyo kilichofanywa na Bunge ni kurejea utaratibu wa awali wa kupokea ripoti ya CAG kutoka Kwa Rais wa nchi na kuijadili na kutoa maoendekezo
Na huo ndio utaratibu unaotamkwa na katiba hivyo wataendelea nao wala sioni sehemu ambayo itamlazimisha Rais kuomba Bunge wapokee ripoti ya CAG kwani ni takwa la katiba
Bunge limesema "halifanyi kazi na Asaad/CAG" sasa ikitokea imepelekwa report ya ukaguzi kama katiba inavyoelekeza nayo imesainiwa na Prof. Asaad, yule aliyeazimiwa kususiwa kazi zake, nini kitafuata kama sii kabrasha kufungiwa kabatini au kakataliwa kupokelewa kabisaaaa!!
 
Back
Top Bottom