jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Mniwie radhi ya kwamba sitawatafunia kila kitu.
Lengo ni kuhakikisha anamiminiwa sifa kutoka kila pembe ya nchi.
Bunge litaombwa kuipokea na kuijadili report ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG Prof. Asaad.
Spika ndugai atawarai wabunge ya kwamba wakubali ombi la kiongozi mkuu wa serikali, waweke kando msimamo wa azimio lao (bunge) na kukubali kuipokea na kuipa kamuda kadoooogo ka kuijadili.
Kina Jenista na vibajaji ndio watakuwa wachangiaji wakuu ambao kimkakati watatumia muda wote kumsifu na kumtukuza mfalme kwamba ana busara saaana.
Kitakachofuata ni maandamano ya kulisifu jiwe nchi nzima.
"ya nini malumbano ya nini maneno, Najiweka pembeni naepuka msongano" (sijui nani waliimbaga huu wimbo)
====ZA MOTO MOTO====
-------MTONYO UPDATES----
Leo 8/4/2019 bungeni ameelekezwa mbunge mmoja kati ya wale waliounga mkono juhudi kutoa hoja ya kuliomba bunge kuipokea riport ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali kwa masharti kuwa "endapo italetwa na mh. Rais"
Hapo ndipo meza zitakapo vunjika kwa kupigwapigwa na wabunge wa ccm na nyimbo za kumsifu na kumuabudu rais zitakapoanza rasmi.
Wakati report inapelekwa televisheni zitakuwa mubashara!!!!!