Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Wacha maongezi nonsense, huwezi kumtetemesha balozi wa USA hata nukta. Mna kitu gani cha kumtisha USA nyinyi?

Fanyeni sasa upuuzi wenu muone cha mtema kuni

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani alitetemeshwa ama alijitetemesha yeye na ujumbe wake, jiongeze angalau hata kidogo. Tafuta ujue hata habari za Daudi na Goliati. Kukabiliana na janga la corona, JPM kawa Daudi na Trump kwa Goliati.
 
Heri umekuwa muungwana. Je tuhuma hukuzisikia kupitia Musiba?
Sio za kweli, huyo musiba anajipendekeza huko ccm baada ya kushindwa kura za maoni,
Tundu lissu hasapoti ushoga hata kidogo
Na hata serikali haiungi mkono ushoga japo ilisema msimamo wa makonda juu ya kupambana na ushoga sio msimano wa wizara.
Lissu anapigania utawala wa sheria, utawala bora,haki za binadamu,maisha bora halisia.
 
Jina lako tu unatakiwa ushitakiwe hukohuko marekani
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia

Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!

Kwa hakika yanayoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, unyanyasaji wa misafara ya Upinzani na uminyaji wa kutaka Media za nje na ndani ku- report habari za Uchaguzi hayavumuliki,.....!! Is high time Jumuia ya Kimataifa ikaiangalia Tanzania kwa. Jicho la 3.....!!!
Kuna ulazima wa Tanzania kuwekewa VIKWAZO VYA KIUCHUMI Kama Zimbabwe ya the late Mugabe!!!!
 
Kwa hiyo kila anayetumia akili lazima awaze Kama wewe? Kwa nini kuwa mbinafsi kiasi hiki na kujiona wewe tuu ndo mwenye haki ya kutoa maoni?
 
Kuna mda mluwahi mfananisha na kwenu
 
Kwa hiyo kila anayetumia akili lazima awaze Kama wewe? Kwa nini kuwa mbinafsi kiasi hiki na kujiona wewe tuu ndo mwenye haki ya kutoa maoni?
Naona neno tumia akili ndo limekuwa tatizo.
 
Hapa unajificha. Nenda katoe hoja yako mbofu mbofu insta. Hivi kweli Serikali ndo ipige kibomu ofisi za CHadema Arusha. Kipindi hiki cha kutafuta Kiki. Hata kama umerogwa Basi rogeka vizuri
 
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia

Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!

Mpuuzi tu ndio anayeweza kuamini sinema za Chadema! Na mabwana zao wameshaanza kuwakingia kifua!? Haijarishi watasema Nini...Tz ni yetu sisibwenyewe na tuisbdesha kwa kufuata katiba yetu wenyewe! USA wa'addr3ss' issue zao juu ya mauaji ya weusi mikononi mwa polisi kwanza easier na vihelehele vya kushadadia maigizo na kuyapotezea Mambo halisi yaliyopo kwao!
 
Wapambane na uchaguzi wao kule.

MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia

Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!

Hivi ni lini AFRIKA tutajitawala wenyewe na kubaki na maamuzi yetu sisi, USA wana moral authority gani kutupangia masuala ya ndani huwa nasikitika sana kuona mTZ anashangilia haya matamshi ya USA afu wakati huo huo anadai SERIKALI haifuati DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA, matatizo yetu sisi waafrika tutatatua sisi wenyewe
 
Lissu kawashika MATAGA kunako....
 
US walikuwa na mizengwe hivyo hivyo hata wakati ule walipomfurusha kuzimu dictator Gaddafi.

wakiamua kumfurusha mtu wao hufurusha tu, hata akikimbilia pangoni!
Pia kumbuka msemo wao, “ We don’t have permanent friends but permanent interests”. Kigezo kwao ni maslahi yao yanapoguswa sio kuja kutupa burudani ya roho akina sisi.
 
Hapa unajificha. Nenda katoe hoja yako mbofu mbofu insta. Hivi kweli Serikali ndo ipige kibomu ofisi za CHadema Arusha. Kipindi hiki cha kutafuta Kiki. Hata kama umerogwa Basi rogeka vizuri
Ni wapi nimezungumzia kuhusu kupigwa bomu jengo la Chadema?Je unajua watu wanaoitwa "rogue elements?".Je ulishawahi kusikia askari Polisi aliyeshiriki wizi bila idhini ya IGP?Kama unayajua hayo hutashangaa serikali kuhusishwa na vitu kama hivyo na ndipo ambapo serikali inatakiwa itoke hadharani na kujitenga kama ilivyofanya kwa kutekwa Mo Dewji ambapo kuna mtu ameshatakiwa mahakamani.Simple and clear!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…