Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Utaishia kulalamika tu nyuma ya keyboard, inawabidi muheshimu utawala bora na sasa hivi mkubali kushindwa tu na mkishinda basi mshinde kwa halali.USA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.
Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
Mkiingiza wizi basi jiandaeni kufundishwa kuruka kichura chura
Sent using Jamii Forums mobile app