Utaishia kulalamika tu nyuma ya keyboard, inawabidi muheshimu utawala bora na sasa hivi mkubali kushindwa tu na mkishinda basi mshinde kwa halali.USA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.
Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
habari ndiyo hiyo, comrade!Just the next day rubbish! All those bombings, drones, and the immemorable Hiroshima and Nagasaki incinerations! Ever said anything about slavery? Now masquerading, police-like to foresee over these useless politicians. That is too low for a Senator.
Anyhow, we now know the political ignorance of these scientifically developed nations. Let them use Trump dote to firstly disinfect their brains.
Safari hii muguseni Lissu mkione cha mtema kuni. Mkifanya Fyoko Fyoko mnatandikwa.Angia kuanza kutafuta wadhamini kwa Wagombea Urais wapi imetumika nguvu mkuu. Au ndiyo mabeberu wanataka kutimiza adhima yao waliyokubaliana na kibalaka wao ya kuhakikisha amani inavurugika Tanzania.
Huyo anawatukana viongozi wa serikali atakavyo wapi amezuia kutoa hizo lugha zake za kifedhuri
Lissu ni ikulu moja kwa moja hakuna mshindani wa kumzidi sifa za kupendwa na watanzania.Safi saana umeanza kutumia akili na sio mihemko
unafikiri hilo Onyo la USA litafanikisha TL kwenda ikulu ?
Safari hii mkifanya upuuzi wenu lazima mnatandikwaMarekani 'ihangaike' Kwanza na 'Upuuzi' wa Rais wao Trump hadi 'anadhihakiwa' na akina Michelle Obama katika DNC kisha ndiyo aje huku Kwetu.
Ukishajua tuu kua unavaa mitumba yao wewe na familia yako,pia bajeti 80% inategemea wafadhamili,utajikuta zuzuUSA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.
Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
Acha kuwakoromea USA,hao ndyo wanao-finance hata budget ya Serikali...kumbuka wao ndyo wanao finance Projects mbalimbali kama Malaria (Pamverc),afya,ulinzi,elimu na miundombinu kwa kifupi hawa ndyo source ya maendeleo kwa Tanzania na Dunia kwa ujumla!
Ila mnapokwenda kutembeza bakuri hawawaingikia Mambo yenu ?Mapimbi ya kijani kibichi yanavhekesha SanaUSA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.
Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
Kwajinsi chama Cha CCM , kilivyozamilia kuvuruga uchaguzi wa mwaka huu , bila ya shaka mwaka huu tunaandika historia ya watanzania kupelekwa the Hague , sure I tell .Kwa hiyo ze hegi inaweza muhisu mtu kama damu ikimwagika
Unamjua aliempiga risasi?Aliyeichafua nchi ni yule aliyempiga risasi
Utaishia kulalamika tu nyuma ya keyboard, inawabidi muheshimu utawala bora na sasa hivi mkubali kushindwa tu na mkishinda basi mshinde kwa halali.
Mkiingiza wizi basi jiandaeni kufundishwa kuruka kichura chura
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha maongezi nonsense, huwezi kumtetemesha balozi wa USA hata nukta. Mna kitu gani cha kumtisha USA nyinyi?Balozi wao juzi kati kaufyata alienda ikulu kavaa barakoa. Kumuona JPM hajavaa akavua ya kwake na kuiweka kwenye mfuko wa koti lake. Wakati wakupiga picha akawaamuru wale aliongozanao wavue zao. Wakatii bila kuuliza, hapa mnadanganya USA hakuna kuingilia uhuru wa mtu.
Ukishajua tuu kua unavaa mitumba yao wewe na familia yako,pia bajeti 80% inategemea wafadhamili,utajikuta zuzu
Ila mnapokwenda kutembeza bakuri hawawaingikia Mambo yenu ?Mapimbi ya kijani kibichi yanavhekesha Sana
Polisi wanasubiri mhalifu ajitokeze au wanamsaka mhalifu??!!Jitokeze ukamatwe
Kwani hizo simu na laptop tunapewa bure?Isingekuwa wao hata iyo simu au Laptop uliyotumia kuandika hapa JF usingeweza.