Uchaguzi 2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

Kwa kweli hii si nzuri Tubishane kwa hoja Kumiminiana risasi na kuchomeana ofisi ni mambo ya kikaburu
 
Screenshot_20200818-175050.jpg
 
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia

Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!

Kwani wameshajua nani kachoma hiyo ofisi? Chadema wahuni wanachoma kisha wanakimbilia kwa mabwana zao kushitaki. Watambue hawatafanikiwa
 
Mwenye masikio na asikie!
Hivi mkuu unajua kwa sasa US ni taifa moja wapo kubwa lenye mizengwe ya uchaguzi Duniani. Kwa sasa Rais wao anajiandaa kuvuruga uchaguzi kwa kulivuruga shirika lao la Posta sababu anaogopa mail voting. Jamaa zako hao hawana tena moral authority.
 
Yaani acha tu nisijefungiwa bure!. Ujue nikisikiaga watu wanapraise manguruwe huwa natamani niwatukane matusi ambayo hayajawahi kuwwpo duniani!. Hivi who is marekani nyie mbw***??. Kila kitu utasikia tyokolokolo!!. Mtaolewa nyie na matrampa!
 
USA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.

Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
Nyani hacheki kundi la nyani mwenziwe. Huyu Rais wako unaona ni presidential material? MTU ambaye asiyeweza kunieleza hata kwa sentenso moja iliyonyooka kwa lugha ya Kiingereza? The president so narrow minded? Unajivunia nini!? Come on!
 
Usitumie mabavu kumnyanyasa asiye na mabavu. Ni kanuni simple ya maisha .
Asiye na 'mabavu' avunje sheria na kanuni pia alete havoc kwenye jamii...bado jamii imchekee tu kisa hana 'mabavu'! Hiyo kanuni haikubaliki kamwe na jamii husika.
 
Nyani hacheki kundi la nyani mwenziwe. Huyu Rais wako unaona ni presidential material? MTU ambaye asiyeweza kunieleza hata kwa sentenso moja iliyonyooka kwa lugha ya Kiingereza? The president so narrow minded? Unajivunia nini!? Come on!
I guess you are a very good brainwashed candidate! Yaani uwezo wa mtu kuongoza unaupima kwa mtu huyo kujua kuongea kiingereza! Mungu tunusuru na dhahama hii!
 
Nyani hacheki kundi la nyani mwenziwe. Huyu Rais wako unaona ni presidential material? MTU ambaye asiyeweza kunieleza hata kwa sentenso moja iliyonyooka kwa lugha ya Kiingereza? The president so narrow minded? Unajivunia nini!? Come on!

Limbukeni wewe unafikiri kuongoza nchi ni zile English clubs za sekondari? Huu ni utumwa wa fikra na ustaarabu . Ndio maana mpiga zumari Lissu moja ya agenda zake ni mdahalo.

Muulizeni Lissu anayekejeli kila anapopita maendeleo ya miundo msingi yaliyoletwa na serikali za CCM. Anaenda mbali kusema madaraja, vivuko, meli, Umeme, Viwanda, mabarabara, Reli, tereni, bwawa la kuzalisha umeme , etc viwapigie ccm na wagombea wao kura. Na eti watanzania wale hiyo miundo mbinu, kejeli na dharau zinazo payukwa na mtu aliyekosa maadili kiwango cha SGR.

Na mimi na muuliza Lissu na wewe mlamba miguu yake, watanzania watakula hicho kiingilishi chake au atapigiwa kura na midahalo?
 
Hivi mkuu unajua kwa sasa US ni taifa moja wapo kubwa lenye mizengwe ya uchaguzi Duniani. Kwa sasa Rais wao anajiandaa kuvuruga uchaguzi kwa kulivuruga shirika lao la Posta sababu anaogopa mail voting. Jamaa zako hao hawana tena moral authority.
US walikuwa na mizengwe hivyo hivyo hata wakati ule walipomfurusha kuzimu dictator Gaddafi.

wakiamua kumfurusha mtu wao hufurusha tu, hata akikimbilia pangoni!
 
Asiye na 'mabavu' avunje sheria na kanuni pia alete havoc kwenye jamii...bado jamii imchekee tu kisa hana 'mabavu'! Hiyo kanuni haikubaliki kamwe na jamii husika.
Mpige leo mkeo au mwanao , uone jamii itavyokuchukulia .
 
Kwani wameshajua nani kachoma hiyo ofisi? Chadema wahuni wanachoma kisha wanakimbilia kwa mabwana zao kushitaki. Watambue hawatafanikiwa
kama Chadema ndiyo waliochoma, jee polisi wanasubiri nini kuwakamata?
 
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia

Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!

Tulishawazoea wapuuzi hao wasitupangie namna ya kushughulika na mambo ya ndani kwetu. Washughulikie korona huko kwao.
 
hata wapambe wa Gaddafi nao walikuwa wakijipa moyo hivi hivi kama wewe ndugu.

wote tunajua kilichofuatia!
 
Back
Top Bottom