Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
USA ndio mlinzi wa amani ya dunia,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia
Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!
Hivi mkuu unajua kwa sasa US ni taifa moja wapo kubwa lenye mizengwe ya uchaguzi Duniani. Kwa sasa Rais wao anajiandaa kuvuruga uchaguzi kwa kulivuruga shirika lao la Posta sababu anaogopa mail voting. Jamaa zako hao hawana tena moral authority.Mwenye masikio na asikie!
Nyani hacheki kundi la nyani mwenziwe. Huyu Rais wako unaona ni presidential material? MTU ambaye asiyeweza kunieleza hata kwa sentenso moja iliyonyooka kwa lugha ya Kiingereza? The president so narrow minded? Unajivunia nini!? Come on!USA linaendelea kuwa taifa kubwa na la hovyo sana dunia, kila siku kutoa matamko ya siyo kuwa na kichwa wala miguu.
Walionya na kutoa tamko la kuhusu corona kiko wapi? Watuache nani huwa anaingila mambo yao wao ya ndani? Ukitaka kujua USA wakati mwengine ni wajinga angalia aina ya rais waliye naye wakati huu.
Asiye na 'mabavu' avunje sheria na kanuni pia alete havoc kwenye jamii...bado jamii imchekee tu kisa hana 'mabavu'! Hiyo kanuni haikubaliki kamwe na jamii husika.Usitumie mabavu kumnyanyasa asiye na mabavu. Ni kanuni simple ya maisha .
Mimi sijui kama walikutana au hawakukutana,
I guess you are a very good brainwashed candidate! Yaani uwezo wa mtu kuongoza unaupima kwa mtu huyo kujua kuongea kiingereza! Mungu tunusuru na dhahama hii!Nyani hacheki kundi la nyani mwenziwe. Huyu Rais wako unaona ni presidential material? MTU ambaye asiyeweza kunieleza hata kwa sentenso moja iliyonyooka kwa lugha ya Kiingereza? The president so narrow minded? Unajivunia nini!? Come on!
Nyani hacheki kundi la nyani mwenziwe. Huyu Rais wako unaona ni presidential material? MTU ambaye asiyeweza kunieleza hata kwa sentenso moja iliyonyooka kwa lugha ya Kiingereza? The president so narrow minded? Unajivunia nini!? Come on!
US walikuwa na mizengwe hivyo hivyo hata wakati ule walipomfurusha kuzimu dictator Gaddafi.Hivi mkuu unajua kwa sasa US ni taifa moja wapo kubwa lenye mizengwe ya uchaguzi Duniani. Kwa sasa Rais wao anajiandaa kuvuruga uchaguzi kwa kulivuruga shirika lao la Posta sababu anaogopa mail voting. Jamaa zako hao hawana tena moral authority.
Mpige leo mkeo au mwanao , uone jamii itavyokuchukulia .Asiye na 'mabavu' avunje sheria na kanuni pia alete havoc kwenye jamii...bado jamii imchekee tu kisa hana 'mabavu'! Hiyo kanuni haikubaliki kamwe na jamii husika.
Jitokeze ukamatwekama Chadema ndiyo waliochoma, jee polisi wanasubiri nini kuwakamata?
Tulishawazoea wapuuzi hao wasitupangie namna ya kushughulika na mambo ya ndani kwetu. Washughulikie korona huko kwao.MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia
Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!