Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Mbona hata wewe juzi uliandika Uzi u anauliza kuhusu siri ya nguvu za kiroho za vunja chungu "mantis" π€£π€£π€£π€£ wewe jamaa una vituko sana wewe. Unawaza kutawaliwa !!! Karne hii ya 21!!!
Baba Nyerere amka uone watoto wako wanacho kiwaza..
Vitu ambavyo CCM wameshindwa ni vingi mno hasa ukizingatia mda waliokaa madarakani zaidi ya miaka 60.Kwanza siungi mkono hoja, pili sio kweli tumeshindwa kila kitu, kuna vingi tunaweza ila vile tunavyoshindwa, tukubali kusaidiwa!. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Why Marekani?,
P
Kwahiyo tuuze nchi?Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.
Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.
Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.
Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.
Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.
Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.
Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Huyu mtoa mada kama hana hangover basi ana msongo wa mawazo, au hata pengine vyote kwa pamoja.kuna nchi imewahi kufanya hivi tuone kama case study ilikuwaje??
Naona wazee wa ELOMENOMOPIQUGIBITIZED MKO ACTIVE KWELIHili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.
Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.
Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.
Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.
Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.
Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.
Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Sidhani kama wanaongelea kuuza nchi,wanaongelea kuungana. Kama tanganyika ilivyoungana na zanzibar. Au kama afrika mashariki inavyopanga kuungana. Au unahisi tanganyika imeuzwa ilipoungana na zanzibar? Au kuna ukoloni baada ha sisi kuungana na zanzibar?Kwahiyo tuuze nchi?
Tuuze uhuru wetu?
Turudie ukoloni tena?
Daaah...
Japan hata wakimbizi haichukui, hawawezi kuaccept proposal kama hizi.
Hizi ni proposal za watu wa west.
Kwahiyo tuuze nchi?
Tuuze uhuru wetu?
Turudie ukoloni tena?
Daaah...
Nakazia mkuuHuyu mtoa mada kama hana hangover basi ana msongo wa mawazo, au hata pengine vyote kwa pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri ikipigwa kura ya maoni, ni watanzania wangapi watakubali?Huyu mtoa mada kama hana hangover basi ana msongo wa mawazo, au hata pengine vyote kwa pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajitambui HuyoKwahiyo tuuze nchi?
Tuuze uhuru wetu?
Turudie ukoloni tena?
Daaah...
Thread nzima kazi yako kukazwa tu!!Nakazia mkuu
Uhuru upi?Kwahiyo tuuze nchi?
Tuuze uhuru wetu?
Turudie ukoloni tena?
Daaah...
Marekani yenyewe ni muungano wa nchi kadhaa ambazo sasa zinaitwa majimbokuna nchi imewahi kufanya hivi tuone kama case study ilikuwaje??
Tanzania yenyewe ni muungano wa Nchi mbiliMarekani yenyewe ni muungano wa nchi kadhaa ambazo sasa zinaitwa majimbo
Hakuna muungano kati ya mnyonge na mwenye nguvu.Never!!!Sidhani kama wanaongelea kuuza nchi,wanaongelea kuungana. Kama tanganyika ilivyoungana na zanzibar. Au kama afrika mashariki inavyopanga kuungana. Au unahisi tanganyika imeuzwa ilipoungana na zanzibar? Au kuna ukoloni baada ha sisi kuungana na zanzibar?
Fikiria ni kwanini watu wanataka kuungana na Nchi kama marekani...
Ni kuondoa umaskini ambapo sisi wenyewe tumeshindwa kwa miaka zaidi ya 60. Mimi siwez washangaa wanaokuja na wazo la kuungana. Watu wamechoka.
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.