Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Sijawahi kupoteza matumaini au shauku kwa nchi yangu.
Inasikitisha kusoma juu ya nafsi au roho na akili zilizopotea. Poleni sote.
Mzee mmoja wa makamu na hekima aliwahi kusema; "Viongozi wenye busara wanajua jinsi ya kuweka moto wa shauku na matumaini(to keep the fires of hope and enthusiasm burning) wakati wakiepuka kuwachosha watu na uchovu.
Mada hii ni ya Uchovu. Mleta mada ameshindwa kuleta matumaini na badala yake kuwahadaa wengine na matarajio ya uwongo. Sio sawa kabisa, pamoja na mapungufu yetu. Tunaweza peana shauku. Yani kwanini unasalimu amri kihivyo?? Unataka uje utawaliwe? How? Hatahivyo naona kana ni changamoto kwa wengi kujua jinsi ya kuamsha shauku.
Niseme tu
Kamwe, usikate tamaa.