Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangànyika na Zanzibarkuna nchi imewahi kufanya hivi tuone kama case study ilikuwaje??
United states of US na Emirates..kuna nchi imewahi kufanya hivi tuone kama case study ilikuwaje??
Huo ndo unafiki wenyewe sasa,Kikwete alikuwa neutral,na !maisha yakaendaLakini hauna baraka za serikali na jamii kwa ujumla!! Lakini huko kwingine ndo mpango mzima wa serikali!! Shoga huko ni dhahabu inayolindwa kwa nguvu zote!
Yani nimesoma nikajikuta ninacheka tu mwenyewe kwa sauti 🤣🤣
Mkuu, ebu fanya study kidogo juu ya Puerto Rico 🇵🇷 ambayo ni protectorate ya marekani ujue hali yao ikoje.
Hakyanani huu mkataba umevuruga watu 😅😅
Wewe siyo bure. Ukapimwe mkojo kwanza, hakafu mashitaka ya uhaini ndiyo yafuateHili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.
Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.
Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.
Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.
Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.
Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.
Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Texas Jimbo tajiri kabisa linaweza kujitenga kutoka federal ya US!! Umewaza kwa nini wanataka kujitenga?Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.
Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.
Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.
Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.
Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.
Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.
Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Waohh!!Jimbo la Alaska lilikuwa ni sehemu ya Urusi.
Kisiwa cha Mayote Commoro ni wilaya ya Ufaransa.
Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman na ndio yalikuwa makao makuu ya Sultan.
Zanzibar ingebaki chini ya Oman wangekuwa na maendeleo makubwa, wilivyotekwa na Ccm tu ndio imekuwa laana kama sisi tu.
Wewe una akili!?Huna akili
Kwanza siungi mkono hoja, pili sio kweli tumeshindwa kila kitu, kuna vingi tunaweza ila vile tunavyoshindwa, tukubali kusaidiwa!. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?.Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.
Why Marekani?,Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.