Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

Mbona hata wewe juzi uliandika Uzi u anauliza kuhusu siri ya nguvu za kiroho za vunja chungu "mantis" 🤣🤣🤣🤣 wewe jamaa una vituko sana wewe. Unawaza kutawaliwa !!! Karne hii ya 21!!!

Baba Nyerere amka uone watoto wako wanacho kiwaza..

hata Mimi nilipo ona tu jamaa anatafuta vunja jungu ili atajirike nikasema huyu jamaa ana mtindio wa ubongo
 
Kwanza siungi mkono hoja, pili sio kweli tumeshindwa kila kitu, kuna vingi tunaweza ila vile tunavyoshindwa, tukubali kusaidiwa!. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

Why Marekani?,
P
Vitu ambavyo CCM wameshindwa ni vingi mno hasa ukizingatia mda waliokaa madarakani zaidi ya miaka 60.
Na kibaya zaidi hakuna dalili zakuonyesha kuwa wanaweza kubadilika kwa miaka hii michache ijayo. Sera Yao kuu ni kudumu kwenye madaraka hata kama wanaidumaza Nchi kiuchumi. Ndio maana usalama wa taifa wanatumika sana kwenye siasa na sio kiuchumi. Hivi hushangai tunakuwa na mikataba mibovu na wawekezaji wanaokwepa kodi huku usalama wa taifa wapo? Unadhani hawaoni?

Kama tungeungana na taifa fulani lililosonga mbele kiuchumi,matatizo yetu ya kiuchumi yangepungua sana na suala la mikataba mibovu lingeisha na kusingekua na haja ya mtu kuimba nyimbo za sifa ili upewe cheo

Si lazima kuungana kila kitu. Lakini kuungana kiuchumi ni muhimu.Mfano unaungana na Japan ambapo sheria zote za Madini,umeme,ujenzi,makazi, ardhi, maji,afya na uchumi zinakuwa zilezile za kijapan. Je hapo kutakuwa na mikataba mibovu kisa tu viongozi wamehongwa? Au unadhani utaweza kujenga nyumba kiholela bila kupimwa? Au unadhani utaweza kuwa mkurugenzi na cheti feki? Au utaweza kupata cheo kisa tu wewe ni kada wa CCM? Au tutahangaika na bandari? Au watoto kusoma chini ya mti?

Wanaopinga wazo hili wengi ni wanufaika wa uozo wa hii miaka zaidi ya 60.
 
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Kwahiyo tuuze nchi?

Tuuze uhuru wetu?
Turudie ukoloni tena?
Daaah...
 
Naona wazee wa ELOMENOMOPIQUGIBITIZED MKO ACTIVE KWELI
 
Kwahiyo tuuze nchi?

Tuuze uhuru wetu?
Turudie ukoloni tena?
Daaah...
Sidhani kama wanaongelea kuuza nchi,wanaongelea kuungana. Kama tanganyika ilivyoungana na zanzibar. Au kama afrika mashariki inavyopanga kuungana. Au unahisi tanganyika imeuzwa ilipoungana na zanzibar? Au kuna ukoloni baada ha sisi kuungana na zanzibar?

Fikiria ni kwanini watu wanataka kuungana na Nchi kama marekani...
Ni kuondoa umaskini ambapo sisi wenyewe tumeshindwa kwa miaka zaidi ya 60. Mimi siwez washangaa wanaokuja na wazo la kuungana. Watu wamechoka.
 
Japan hata wakimbizi haichukui, hawawezi kuaccept proposal kama hizi.

Hizi ni proposal za watu wa west.

Kwahiyo tuuze nchi?

Tuuze uhuru wetu?
Turudie ukoloni tena?
Daaah...

Nisaidie kushangaa mkuu. Kuna watu wanawaza utakifikiri wamekatwa vichwa.

This thread is the most ASININE thread to be posted at Jf tangu JF ianzishwe
 
Huyu mtoa mada kama hana hangover basi ana msongo wa mawazo, au hata pengine vyote kwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri ikipigwa kura ya maoni, ni watanzania wangapi watakubali?
Wengi watakubali,tena wengi sana.

Wataopinga ni wachache na wanufaika wa hii mifumo mibovu ya sasa.

Au ukitaka kupima, nenda mtaani waulize watu hivi..

"Marekani/Japan/Canada wanataka kuungana na tanzania tuwe Nchi moja,je nani analikubali hili wazo?"
 
Aisee Dr Matola PhD umetisha sana daktari yaani kama najiona mitaa ya Texas ,Washington Dc nikipita huku nakula zangu ubuyu mida ya mchana nimetoka kula hapo .

Mara niko zangu nyumbani kwa bwana Anord schwezeniger tunapiga story jioni hiyo baada ya mihangaiko ya siku nzima .

Usiku mida ya saa moja nakutana na akina Rihanna tunapiga story mbili tatu club kubwa ya Birgham night club [emoji3][emoji3]

Wikiendi niko zangu Mbeya street huko kwenye jimbo la Tanganyika nikiwa nimekuja one time kuwaona akina Mwaisa na akina Mwasipenjele [emoji16][emoji16]

Oyaa eeee life litakuwa tamu sana , unastahili kuitwa daktari kabisa maana kwa mawazo yako tu nimejikuta nazama ndotoni na hapa nimefurah sana tu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
lakini Ccm wanataka tuwe jimbo la waarabu yaani chini ya Emirates kupiria Dubai, mwezeshaji akiwa Dpw. Kikwazo kipo hapo
 
Sidhani kama wanaongelea kuuza nchi,wanaongelea kuungana. Kama tanganyika ilivyoungana na zanzibar. Au kama afrika mashariki inavyopanga kuungana. Au unahisi tanganyika imeuzwa ilipoungana na zanzibar? Au kuna ukoloni baada ha sisi kuungana na zanzibar?

Fikiria ni kwanini watu wanataka kuungana na Nchi kama marekani...
Ni kuondoa umaskini ambapo sisi wenyewe tumeshindwa kwa miaka zaidi ya 60. Mimi siwez washangaa wanaokuja na wazo la kuungana. Watu wamechoka.
Hakuna muungano kati ya mnyonge na mwenye nguvu.Never!!!
 
Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine.

Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani hawawezi kukataa ingawa itawagharimu Waafrica wenzetu maana utakuwa ukitaka kuja Tanzania basi uombe viza ya Marekani hukohuko kwenu kwenye US Embassy.

Nitaongelea faida chache tu, kwa wale wanaongaika na viza za Marekani tatizo litakuwa limekwisha maana utakwenda New York kama unakwenda Mbeya tu.

Kwakuwa raslimali alizotupa Mungu tumeshindwa kuzisimamia basi federal government Washington Dc itafanya mabadiriko makubwa na kwakuwa USA ni serikali ya majimbo basi jimbo la Tanzania tutawazidi hata jimbo la Texas.

Kikwazo kikubwa nakiona kwa CCM tu, maana vyama vyote itabidi vifutwe vije Democratic, Republican na vyama vidogo vilivyopo Marekani.

Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.

Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.

Wakati tushaingizwa uarabuni
 
Anyway all in all dunia inakuja pamoja ili iwe chini ya kiongozi mmoja, dikteta
 
Back
Top Bottom