Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

🤣So...unataka kuhama Tena. Sasa huoni utawaonea. Coz wao tayari Wana matatizo ya uhamiaji huko...wamexico, waarabu Tena wabongo muende. Cha muhimu tujiendeleze tusitamani vya watu
 
Kama unakubali lazima pia ukubali me kufanywa ke maana hiyo ndiyo haki za binadamu!! LGBT kwa kwenda mbele! Naona mashoga wa bongo wanalichangamkia sana hili wazo la kuwa jimbo la USA!!
Hakuna anafosiwa kuwa shoga ila wanachosema kila mtu aishi atakavyo so ka wewe ni shogo ni shoga tuu iwe unavaa gauni au suruali kanzu au batiki
 
🤣So...unataka kuhama Tena. Sasa huoni utawaonea. Coz wao tayari Wana matatizo ya uhamiaji huko...wamexico, waarabu Tena wabongo muende. Cha muhimu tujiendeleze tusitamani vya watu
Usichoelewa jimbo la Tanzania ndio litakuwa na maendeleo kuliko jimbo la Texas na hakutakuwa na watu wengi wa jimbo la Tanzania watakaotamani kwenda kuishi majimbo mengine kama New York na DC.
 

Nimecheka kama mjinga, Matola hebu nenda kwenye biriani tuje kukujoin......
 
Naunga mkono hoja
 
Mkuu una hoja usikilizwe ,
 
Cha ajjabu hukohuko marekani dp wapo
 
Wewe unapenda uchawa wa Ccm, raslimali za Taifa kunufaisha wachache.

Kwahiyo wanakwenda Marekani wanakwenda utumwani? Mbona hamuishi kuwapiga mizinga?
Mi siwezi kuwa mdudu mchafu, chawa, anaye mkalia na kumtafuna mtu sehemu za sirini binadamu.
Chawa umewaona wakati wa jaribio la kuuza Bandari.

Kwa vyovyote vile kupenda kutawaliwa ni kuutamani utumwa.
Heri umasikini lakini uwe huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…