Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

Tanganyika Ni Jimbo la Zanzibar.
Ukiona mkuu wa wilaya huku bara ambaye Ni mzanzibari Basi ujue huyo Ni gavana kwenye wilaya hiyo.
 
Yani nimesoma nikajikuta ninacheka tu mwenyewe kwa sauti 🀣🀣
Mkuu, ebu fanya study kidogo juu ya Puerto Rico πŸ‡΅πŸ‡· ambayo ni protectorate ya marekani ujue hali yao ikoje.
Hakyanani huu mkataba umevuruga watu πŸ˜…πŸ˜…
 
Lakini hauna baraka za serikali na jamii kwa ujumla!! Lakini huko kwingine ndo mpango mzima wa serikali!! Shoga huko ni dhahabu inayolindwa kwa nguvu zote!
Huo ndo unafiki wenyewe sasa,Kikwete alikuwa neutral,na !maisha yakaenda

Huwa nakereka na watu wanaochagua dhambi za kufanya,
 
Hali ipoje huko Puerto Rico?
Yani nimesoma nikajikuta ninacheka tu mwenyewe kwa sauti 🀣🀣
Mkuu, ebu fanya study kidogo juu ya Puerto Rico πŸ‡΅πŸ‡· ambayo ni protectorate ya marekani ujue hali yao ikoje.
Hakyanani huu mkataba umevuruga watu πŸ˜…πŸ˜…
 
Tutakuwa kwenye queue nyuma ya Washington DC, Puerto Rico na Macau
 
Kumbuka pia marekani kuna lgbtq...........sasa kwa hapa tanzania mtakuwa wewe na afande rama
 
Wewe siyo bure. Ukapimwe mkojo kwanza, hakafu mashitaka ya uhaini ndiyo yafuate
 
Haitatokea... na ikitokea imetokea, basi Watanzania wengi watakubali sana tu.Maana keki ya taifa inaliwa na wachache mno.
 
Haitatokea... na ikitokea imetokea, basi Watanzania wengi watakubali sana tu.Maana keki ya taifa inaliwa na wachache mno.
 
Texas Jimbo tajiri kabisa linaweza kujitenga kutoka federal ya US!! Umewaza kwa nini wanataka kujitenga?
Uchumi wa US pakubwa sana umejengwa kwenye ulaghai na hujuma(rejea Maelezo ya Pompeo juu ya utendaji wa CIA)...uendelezwaji wake kwa njia hiyo ni ngumu.
 

Active , Fang , Moderator Paw
 
Waohh!!
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
.Kwa sababu sioni sababu ya kuwa sovereignty country wakati kila kitu tumeshindwa.
Kwanza siungi mkono hoja, pili sio kweli tumeshindwa kila kitu, kuna vingi tunaweza ila vile tunavyoshindwa, tukubali kusaidiwa!. Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
Karibu wadau mwenye wazo la kujazia ajazie hapo kuelekea Tanzania kuwa jimbo la USA.
Why Marekani?,
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…