Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

Sijawahi kupoteza matumaini au shauku kwa nchi yangu.

Inasikitisha kusoma juu ya nafsi au roho na akili zilizopotea. Poleni sote.

Mzee mmoja wa makamu na hekima aliwahi kusema; "Viongozi wenye busara wanajua jinsi ya kuweka moto wa shauku na matumaini(to keep the fires of hope and enthusiasm burning) wakati wakiepuka kuwachosha watu na uchovu.

Mada hii ni ya Uchovu. Mleta mada ameshindwa kuleta matumaini na badala yake kuwahadaa wengine na matarajio ya uwongo. Sio sawa kabisa, pamoja na mapungufu yetu. Tunaweza peana shauku. Yani kwanini unasalimu amri kihivyo?? Unataka uje utawaliwe? How? Hatahivyo naona kana ni changamoto kwa wengi kujua jinsi ya kuamsha shauku.

Niseme tu

Kamwe, usikate tamaa.
 
Surely amazing, how a PhD failed to liberate your self esteem.
Still want to to be ruled over, subjugated, enslaved.
Shocking really!
Ona mpaka lugha unatamani uzungu, forum ya kiswahili ili uonekane msomi umecomment kwa lugha ya mabeberu.

Siri nguruwe lakini mchuzi wake nakunywa ndio nyinyi.
 
Haiti ipo jirani tu na US kwa nini wasiwe jimbo la US hadi waje Tz! Angalia Haiti pale Port au Prince ni aibu tu kubwa kama Waafrica
Haiti wana madini? Haiti wana mbuga za wanyama? Haiti wana Uranium?

Nimetowa wazo hili baada ya tathmini ya Tanzania tuna natural resources nyingi ambazo US federal government inataka mshirika wa aina yetu.
 
Wana rasilimali kama sisi?
 
Halafu utakuta mtu kama huyu ni Afisa Mtendaji Kata ameshavimbiwa na pesa za mihuri, kwenye utawala wa US federal government hakuna upumbavu kama huu, ila mtahakikishiwa ajira kwenye community.
 
Utoto wa raha sana mkuu. Huu Uzi utamvunjia heshima mtoa mada hapa jukwaani.
Hakazia mkuu. Huyu mtoa mada ni aina ya wanawake ambao anatamani mume wake afe ili aolewe na mume wa jirani yake ambae ana maendeleo na ana mtunza vizuri mke wake...


Yani badala uwaze kufanikiwa wewe kama wewe eti unawaza kutawaliwa.. aisee mawazo kama ya choko
 
Utoto wa raha sana mkuu. Huu Uzi utamvunjia heshima mtoa mada hapa jukwaani.
Ila Wewe ndio utaheshimiwa kwa kuaminisha watu ukiwa juu ya mlima Kilimanjaro unaona Africa nzima?
 
Siyo kuanzia tu, hata ukikazwa ni sawa tu.
 
Ila Wewe ndio utaheshimiwa kwa kuaminisha watu ukiwa juu ya mlima Kilimanjaro unaona Africa nzima?
Kubali tu ukweli mkuu umepuyanga kwenye Uzi huu. Mambo ya mlima Kilimanjaro hata hayahusiani na nilicho kiandika...
 

Yupo kama wapemba ambao wanasema " hatutaki muungano unatunyonya, tunataka tuvunje muungano ili tupewe misaada na Oman" wanawaza kama wamekatwa vichwa🤣🤣🤣🤣 kosa kila kitu usikose akili mkuu
 
Wazo hili la Njaa na Kukosa Pesa Mfukoni
 
Kubali tu ukweli mkuu umepuyanga kwenye Uzi huu. Mambo ya mlima Kilimanjaro hata hayahusiani na nilicho kiandika...
Sasa Wewe naye utajihesabu katika watu wenye akili?

 
Yupo kama wapemba ambao wanasema " hatutaki muungano unatunyonya, tunataka tuvunje muungano ili tupewe misaada na Oman" wanawaza kama wamekatwa vichwa🤣🤣🤣🤣 kosa kila kitu usikose akili mkuu
Hivi wakiitwa watu wenye akili na wewe utajitokeza?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…