Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Yaani wameshindwa kuondoa changamoto za Maji, Umeme, Internet na bei za vifurushi, Bei za vyakula, Miundombinu mibovu ya makazi, Mfumo mbovu wa elimu, Uhaba wa ajira, Kuokoa watu 19 waliokufa kwa uzembe wao, Kodi zisizo na kichwa wala miguu.
Badala yake mnataka kwenda kudeal na most expensive and incredibly complicated field of all utengenezaji na uendeshaji wa Satellite!
Hizo ni pesa za watanzania na zinatakiwa kutumika kutatua changamoto za chini kabisa za watanzania. Hiyo satellite itamsaidia nini mtoto anayekunywa maji ya machafu ya kisimia kule kijijini? Itamsaidia nini mtoto anayesoma giza na kibatari cha mafuta mliyopandisha bei? Itamsaidia nini mwananchi anayenunua ndoo ya maji kwa buku?
Hawa watu huwa wanafikiria kwa kutumia nini? This is F**king idiotic.
Haya mambo sio ya kucheka wala kuwa calm, kama Marekani ingekuwa kwenye hali mbovu kiuchumi kama sisi na serikali yao iamue upumbavu kama huu basi bila shaka kwa hasira za wananchi pekee wangeretract huo uamuzi wa kijinga.
Lakini kwakua watanzania ni maboya na majinga yasiyokuwa na hasira wala uchungu wa kodi zao basi yatakaa kimya na hayatofanya chochote kupinga matumizi mabovu ya kodi kama haya. Na wao wanalijua hili.
Hii project ni kichaka cha mafisadi na mafala wachache wenye nia mbovu binafsi, udhulumishaji na wizi wa kodi za Watanzania. Hawa watu wanaofanya maamuzi hapa nchini wananishangaza sana na inatia hasira.