Serikali ya Tanzania yaanza mchakato wa kuunda Satelaiti yake

Kumbuka mbwembwe za gesi hadi kozi ya gesi ilianzishwa UDSM na kuisomea lazima uwe na division one kaaliii. Lakini angalia sasa hivi wote waliofuzu hawana kazi
 
Basi hiyo timu itakayoundwa utashangaa inapiga bilioni kadhaa za juice.
 
Kumbuka mbwembwe za gesi hadi kozi ya gesi ilianzishwa UDSM na kuisomea lazima uwe na division one kaaliii. Lakini angalia sasa hivi wote waliofuzu hawana kazi
Kuunda satellite hakuhitaji uanzishwaji wa kozi mpya zaidi ya zile zilizopo. Ni suala la kumobilize utaalamu uliopo kwa ajili ya progran maalumu iwapo tu utashi wa kiutawala na pesa vitakuwepo. Hata hivyo hao watawala hawana hiyo commitment na hapo nipo pamoja na wewe kwamba hiki kitu hakiwezekani kwa nchi yetu. Kuanticipate kuweka vifaa vya uokozi pale uwanja wa ndege Bukoba kwa in case ya ndege kutua kwenye maji kumewashinda seuze utashi wa kuunda satellite?
 
Kuwa na satelaiti siyo kukimbizana na dunia ya kwanza,ni muhimu kwa kufuatilia Hali ya hewa,majanga na mawasiliano
Kwa hiyo tukiwa na satellite yetu tutapata more information kuliko tunazopata sasa kutoka International weather station....!?
 
Na Uganda mkuu hivi majuzi tuu.
 
Uganda pia wamerusha juzi ,naona Serikali yetu imepaniki.
 
Unawaza bando tu.Wanaoponda wanaweza kua na akili kuliko wewe.Huu sio muda wakuchekea kila kitu kinachoanzishwa na hizi serikali za kiafrika.mingine ni miradi ya watu inayoanzishwa kimgongo mgongo.wakishachukua chao mradi unafia hapo hapo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tunatakiwa tufike uko waliko wenzetu ndo tuanze hizo anasa.Nchi bado ata kujitegemea kwenye mambo madogo ya kawaida hatujajiweza leo tuwaze kua na mambo makubwa hivyo.Mifano iko mingi sana sio hadi uende nchi za watu ndo ujue sisi bado sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuwa na satelaiti siyo kukimbizana na dunia ya kwanza,ni muhimu kwa kufuatilia Hali ya hewa,majanga na mawasiliano
Majanga gani?.Haya ambayo tunayaona kwa njia za kawaida na bado hatuwezi kufanya chochote.Mawasiliano ya kawaida tu yanatushinda ndo ije ya satelaiti.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Satellite ni Muhimu sana kwa nchi Tena ni ujinga mkubwa kwamba nchi kama hii haina satellite
Niliona kipindi kile cha Mgogoro wa Kenya na Tanzania kitu Wakenya walifanya ndio nilijua sisi bado sana.

Walikata mawasiliano yote kwa watu wanaokaribia border ya Kenya kutoka TZ
Ukitoka Arusha ukifika longido ndio mwisho wa mawasiliano yako ya simu. Simu yako inageuzwa inasoma mitandao ya Kenya Internet inakatwa kabisa huwezi wasiliana kwa njia yeyote
Wenzetu walikuwa wameshaweka tahadhari ya vita saa yeyote

Nikajiuliza Sasa kwa namna hii Nchi si inaweza kuvamiwa saa yeyote bila kujua
Ndio nikajua Tanzania ni debe tupu
 

All that based on hear say and assumptions?
 
Pointi yake umeielewa? Anasema zile lugha tamu tamu wakati wa kuwahadaa Watanzania kuhusu gesi, ndizo almost hizi hizi zinatumika kwenye dead-on-arrival project ya setilaiti.
 
Kauli mbiu pekee NdiO mmesikia wakongo apana
Jamaa yangu, sio lazima sana uchangie hata pale usipokuwa na mwanga wa kile kinacho ongelewa, unaweza kuelimika zaidi kwa kupitia maoni ya wengine kwenye uzi huu.
 
Wanaanza ya research na hali hewa majanga.....ya mswasiliano awamu ijayo labda 5 to 8 yrs.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…