PostGE2025 Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

View: https://x.com/HistoriaYetu/status/1996953814004379930?s=20
 
Mbona hatujasikia tena zile Who are you? Nywinywinywi Mechi ndio kwanza bado ipo first half kazi Munayo
 
ni muhimu pia kutambua kuanzishwa kwa Tume ya Uchunguzi ambayo itachunguza ghasia za baada ya uchaguzi na kuwasilisha ripoti.
Huu ni utapeli, dhihaka, hadaa na matumizi mabaya ya pesa za umma. Mtuhumiwa namba moja hawezi kuunda Tume ya Uchunguzi dhidi yake mwenyewe halafu iwe huru
 
Their unwillingness to listen to anyone is precisely the reason why they’re in deep shit now. Faki these mazafakas!
 
Nyerere alikua anakubalika na wananchi wake ni two different issues . .. Huwezi mlinganisha nyerere na huyo Mbibi..
unajua nyerere aliponea kupinduliwa mara ngap
 
Kudadeeki na bado!
huyo kombo ni msengelesi sana

Tukutane 9dec road..Muda unakata!
 
Waziri amekosea sana inabidi ajiuzuru ameenda kinyume na msimamo Samia, alitakiwa ajibu 'Who are you?'
 
Wanawewezek
Mlizika watu wanahema, yaani mshayakanyaga tena ya moto moto. Mlizima Internet ili mfanye yenu mkidhani wazungu kujua information za Dunia hii wanatumia hivi vi fibre vyenu ya Voda na Tigo - ha ha ha ha

Pambaneni....
Wameyakanyaga watalombwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…