PostGE2025 Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Upumbavu, hiyo Tume hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuiamini.
 
Ila Tanzania iliathirika sana kiuchumi kama hujui. Hii waga ina gharama na lazima mlie tu. Maskini ni maskini tu huwezi kumuwekea tajiri masharti.
kwa sababu waliokua wanashikilia uchumi zamani walikua wachache saaahv diplomasia ni za nchi nyingi
 
Mbona kinyonge sana...hatujawazoea hivi....ila samuya
 
Hakuna cha tume wala mama ake na tume! Samuya ndo muuaji na imethibitika pale aliposema kwamba angekuwa na uwezo angewatupa vijana wote wa Tanganyika nje ya nchi yao kumaanisha hana uchungu nao! sasa muuaji ameua na bado anatamba namna hiyo halafu mbwa moja iseme ohh kuna tume, pumbavu kabisa.
 
“Tanzania itaendelea kuwa na dhamira ya ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya amani na maendeleo. Inatoa wito kwa wadau wote kuruhusu mifumo ya kitaifa kutekeleza hatua na mikakati iliyochukuliwa na Serikali,” imesema taarifa hiyo.
Mpo madarakani kiharamu.
Jambo mnalotakiwa kufanya ni kuondoka madarakani ili waTanzania wawachague viongozi halali. Hayo mengine yote mnayosema ni upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…