BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Bado tupo, na msidhani nyie mabeberu mnaweza kuishinda serikali hii tukufu! NEVER!Who are you ?Imeishia wapi?
Huyu mama ni mwehu, kwa ishu serious kama hizi anakuja na mipasho badala ya kuweka facts mezani.
Mwisho wake umefika akimaliza miezi 6 kwenye awamu hii basi ana mungu wake
Wanafeli sana..... Wametuzoesha kutupiga mipasho sasa hivi wanajifanya wamestaarabika.... Waendelee tu....Mbona haijaandikwa kwa mipasho?
Kwani Nyerere aliua watanganyika na wengine kuwazika wakiwa hai??
Hawezi kuja mda huu yupo anabubujikwa na machoziLucas, chawa mwandamizi njoo utupe tafsiri yake.
Genius gan pale chama chakavuHaya mambo yatapita. CCM ina magenius wengi wanaoweza kutuliza huu upepo mbaya.
Samuya ni genious?!.Haya mambo yatapita. CCM ina magenius wengi wanaoweza kutuliza huu upepo mbaya.
Mzee tukiacha itikadi pembeni Mzee Wasira ni genius wa siasa za Tanzania. Ni mtu aliyewahi kuwa mpinzani na CCM akafanya vyema kote. Labda useme speed yake imepungua kwa sababu ya umri. Ila hadi sasa hivi huwezi kumchagua Babutale au Heche ukamwacha Mzee Wasira.Hao magenius wenyewe sasaView attachment 3511821
Kama unamuaona huyu ni genius basi wewe ni kiazi mbatata kabisa.Mzee tukiacha itikadi pembeni Mzee Wasira ni genius wa siasa za Tanzania. Ni mtu aliyewahi kuwa mpinzani na CCM akafanya vyema kote. Labda useme speed yake imepungua kwa sababu ya umri. Ila hadi sasa hivi huwezi kumchagua Babutale au Heche ukamwacha Mzee Wasira.
Elimu tu aliyonayo Wasira wewe unayo? Vipi kuhusu exposure na uzoefu? Huko unyumbuni mnaongozwa na watu walioshia form 3 kama Lema ndo maana hamna akili kabisa.Kama unamuaona huyu ni genius basi wewe ni kiazi mbatata kabisa.
Wewe sema unamnanga kimtindo Samuya aliyepata Di. IV O Level na D yake ya Kiswahili, una utani mbaya sana wewe.Elimu tu aliyonayo Wasira wewe unayo? Vipi kuhusu exposure na uzoefu? Huko unyumbuni mnaongozwa na watu walioshia form 3 kama Lema ndo maana hamna akili kabisa.
Tulikosea sana ila katiba yetu ndiyo ilimpa madaraka.Hivi kuna kipi cha maana watanganyika walikitarajia Kwa kumkabidhi mamlaka mama wa kiswahili toka pemba? mwenye elimu ya hapa na pale?
Sawa.FAKE
Waambie na hawa kwann bado wanategemea misaada ya mabeberu.Waafrika tupo nyuma sana.
Hivi mpaka leo bado unategemea kuwa Wazungu wana nia ya kukukomboa wewe mtu mweusi.
Machozi yananitoka nikisikiaga maelezo kama yako.
NIkiwa nasoma ndani ya 80's nilipata baiskeli ya msaada toka finland, nimekumbuka mbali ilikuwa ya kisasa kila mtu anashangaa.Ilibidi wajibu hata kwa hii broken english maana Sweden wametangaza kuvunja ushirikiano. Wanajua anayefuata ni Denmark, Holland, Norway na Finland.
Baadaye ufaransa na uingereza. Wamescruti wakakumbuka wataagiza whisky kutoka wapi?
Halafu barua haikua na sinye ya Grishone.
Labda Majini-AssMagenius au vyombo vya dola?