Uwezo wako wa kufikiri mdogo kuliko wa kondoo
Mkuu uelewa wako ni zero, kwa sasa ni kama sheria zisizo rasmi kuwa unaposafiri kwenda nchi za nje ni lazima kupimwa virusi uwe navyo au usiwe navyo lazima upimwe na mashirika ya ndege na baadhi ya nchi haziruhusu mtu kutoka nje ya nchi kuingia nchini mwao bila kufanyiwa vipimo,ni kama kadi ya ugonjwa wa manjano unayotakiwa kuwa nayo baada ya chanjo,haijalishi una ugonjwa au la, siasa zako peleka Ufipa
Mkuu usiwe mbishi bila sababu za msingi,binafsi nimepimwa nikapata cheti na nimekitumia kusafiri na nimerud,kinakubalika ,wala hakuna mahala nilikuwa detained sababu natoka Tanzania,hata huko nilikokwenda japo ni Africa hii hii ,wavaa barakoa ni wachache Sana sana,.,kama hatuaminiwi tusingeruhusiwa kusafiri,Nani anaamini kama watanzania wanapima kweli huku Rais wao akisema hakuna corona ?
Alafu inazidi kuwamaliza wao tu,hii corona kama ina macho vileBy clouds Media kupitia twitter:
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi
View attachment 1659692
Wewe na huyo mganga nani anaelewa ukweli?Mbona wanatoa ndani ya 24 hrs mimi nimepata hiyo huduma hivi karibuni
Tena sasa hivi ndiyo imelipuka upyaaaaMbona jana huyo anayejiita mwendawazimu alidai Tanzania tumenusurika hakuna COVID19 Nchini? Ama kweli mficha ugonjwa kifo kitamuumbua.
Sijajua umeelewa namna gani bandiko la awali. Sijajua kwanini umetoa maoni haya.Mbona jana huyo anayejiita mwendawazimu alidai Tanzania tumenusurika hakuna COVID19 Nchini? Ama kweli mficha ugonjwa kifo kitamuumbua.
Ni kweli kuwa hujui impact ya kupata majibu positiveβΌοΈβΌοΈβΌοΈβοΈβοΈβοΈπ²Sawa inawezekana story zikawa za vijiweni maana hatufahamiani .. Ikatokea umepimwa na ukakutwa uko positive certificate yako itakuwa certified kwa positive nini impact yake kwanza kwa serikali ambayo imesema hakuna ugonjwa.
Sijajua umeelewa namna gani bandiko la awali. Sijajua kwanini umetoa maoni haya.Lazima wapinge,kama Tanzania hakuna Corona hao jamaa wanapima nini sasa,huoni kama hiyo ni matumizi mabaya ya fedha za umma?unapima kitu ambacho hakipo?
Subirini Lissu asikie hizi habari kama hajapinga na kwenda kuwashitaki kwa wazunguMbona wanatoa ndani ya 24 hrs mimi nimepata hiyo huduma hivi karibuni
Wewe uliugua lini, tuambie mkuu maana una ushahidi.Corona ipo sema tumeamua kupotezea tu
Hao wanaminyoo kichwani inawakereketa.sijui vitovu vyao vilidondokea wapi?Acha ushamba, ukisafiri nje ya Tz wanahitaji PCR test, ujinga wenu unaonyesha jinsi mlivyojaa chuki na watupu kichwani.
mbona maelezo yanaeleweka kabisa, taratibu za kusafiri nje ya nchi inakutaka kuwa na covid certificate, wewe na mimi tusiosafiri haituhusuHii nchi hata kuihurumia naona aibu ! Si wanasema corona hakuna , wanapima nini sasa ?
Sawa inawezekana story zikawa za vijiweni maana hatufahamiani .. Ikatokea umepimwa na ukakutwa uko positive certificate yako itakuwa certified kwa positive nini impact yake kwanza kwa serikali ambayo imesema hakuna ugonjwa.
Kwani hii ngoma bado ipo?By clouds Media kupitia twitter:
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameuagiza uongozi wa Maabara ya Taifa kutoa majibu ya sampuli za ugonjwa wa Covid-19 ndani ya saa 24, badala ya masaa 72 kwa hospitali zinazopeleka sampuli au kwa wananchi wanaojitokeza kupima ugonjwa huo kwa nia ya kusafiri nje ya nchi
View attachment 1659692
Wewe ndio huyo mganga?Wewe na huyo mganga nani anaelewa ukweli?