Serikali ya Tanzania yataka majibu ya corona ndani ya saa 24

Hata chanjo ya Covid-19 ikianza watachanjwa tu ndani ya Masaa 24.
Kiburi cha Bure kabisa
 
Mbona jana huyo anayejiita mwendawazimu alidai Tanzania tumenusurika hakuna COVID19 Nchini? Ama kweli mficha ugonjwa kifo kitamuumbua.
Wewe chizi kweli, kwahiyo watu wakienda kupima ina maana wana korona? Nini unadhani kinafichwa hapo, yaani vijana wa ufipa ni manyumbu kweli na ndio maana akili zenu wahuni wanapokezana tu. Aliwapokea Lissu na sasa kawakabidhi kwa Amsterdam nyumbu nyie.

Watu wanapima kwa ajili ya kuthibitisha hawana korona na kupata vyeti vya uthinitisho wanaposafiri nje ya nchi.
 
Anaeficha ugonjwa kilio kitamuumbua, wagonjwa wa korona wapo hospitali Hapa Dar. Kama ulipungua na sasa umerudi tuseme na tuushughulikie kuliko kuficha
 
Huyu mganga mkuu anatafuta kutumbuliwa tu nani kamwambia kuna Corona Tanzania? Shauri yake

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Korona haipo bongo hapo naungana na wewe ila hiyo LISSU alimtukana matusi gani JPM?
 
Mkuu mpaka useme kuwa una emergency na uwe na ticket kabisa
Kuna fomu unajaza,na nchi unayokwenda,inawezekana wasiosafiri majibu yanachelewa,sina uhakika na hilo mkuu ,japo nimeona Tanzania ni kama Exit country,raia wengi wa Rwanda, Burundi,congo hata kenya naona wanapima na kuanzia safari hapa kwetu,possiblly hatuna complications kwenye ishu ya vipimo tofaut na nchi zao
 
Kwa maana nyingine hapa Mganga Mkuu anakubali kuwa CORONA ipo Tanzania na kwamba yule Mtanzania Mmoja ametudanganya na tutakufa.
 
Corona ipo sema tumeamua kupotezea tu
Kuna kuipotezea na kuitukuza,Tanzania mwanzoni tuliitukuza ila baadaye tukaamua kuipotezea ila majirani zetu bado wanaitukuza na ndio maana mtu anaweza kuona kama hapo Kenya wana hali mbaya kwamba si salama ila Tanzania ndio salama,ila kumbe tofauti zetu ni mmoja kuacha kuipotezea na mwengine anaitukuza ila maisha kiuhalisia hali zetu kwa pamoja hazina tofauti.
 
Kuna haja gani ya kupima wakati Hakuna ugonjwa hapa nchini? Halafu wawaambie tu mabeberu kwamba sisi ni taifa huru.
 
Ni kweli kuwa hujui impact ya kupata majibu positive‼️‼️‼️⁉️⁉️⁉️😲
Nilichokimaanisha nikuwa tumeambia hakuna corona alaf itaokea vyeti vina positive sasa aliyetangaza hakuna ugonjwa tunamuweka katika hali gani mbele ya jamii ya kimataifa
 
Hii nchi hata kuihurumia naona aibu ! Si wanasema corona hakuna , wanapima nini sasa ?

Wee sijuzote bichwa lako linakutesa kubeba bila sababu.
😆😁😀
Si bora ulitue?
Wewe hapo wanakwambia ni takwa la mashirika ya ndege, yaliyowekwa na nchi ambazo hizi ndege zinaenda.
Tuko pamoja?
 
Sasa kama wanapima na kugundua ugonjwa upo Nchini kwanini waendelee kusema uongo kwamba Tanzania hakuna COVID19? Siasa kwenye maisha ya raia wanaokufa kwa ugonjwa!? 😳

Bro you are better than this. Just keep quiet and see.
 
Sidhani kama watakuruhusu kupima bila passport, mimi nimepima kama mara mbili wakati niko huko, pia niliwahi pima Uganda na South Sudan, kwa South Sudan unapata majibu kesho yake na pia waweza download bila kufika hapo ulipopimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…