joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ungekuwa na akili usingelaumu Tanzania ambayo imefanya exactly kama ilivyofanya Kenya, unapaswa kuilaumu Kanya kwa provocation, sio Tanzania kwa retaliationNijinyonge for what masikini mwenzangu wewe?
Imeamuliwa na hao,mimi my money always is the same.
Nipo hapa nawachana mlivyo na akili za mchwa kwa kutoa maamuzi ambayo hata kichaa wa mirembe anafanya!
Tumieni akili zaidi sio majawabu marahisi namna hii.
Bure kabisa nyie!
Y'all make y'all seen light weight
Good riddance!
Mbona una hasira sana wewe? Ulitaka tz ifanyaje? Wao wamezuia za kwetu kwenda kwao alafu unataka wao wavinjari tu hapa kwetu kisa nini?Sawa,na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?
Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ,kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?
Watakuja tena?
Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
Wacha tuonyeshe rangi za chupi zetu vzr kabla hatujaingia kwenye ndoa za maumivu kwa vizaziWaswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu..itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi,huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Lakini misuguano ya zamani na sasa mkuu, ipi katika mizania ya diplomasia ni mbaya? Au tutegemee yale ya EAC ya 1977 kuvunjika?Mmmh inaelekea age yako ni ya ujana...msuguano wa Kenya na Tanzania ni wa enzi na enzi
Hivi ni flights za Tanzania pekee zimezuliwa kutua Kenya? Nchi nyingi zimo kwenye zuio ,je zimejibu vipi zuio?I'm sorry to say this , hatua walochukua Kenya kuzuia ndege za Tanzania ni ya kihuni kwani wanakuwa watatujaribu "our patience".
Zama hii hakuna masuala ya kujaribianajaribiana ni kazi tu.
Sasa huko nyuma ya pazia tunangojea simu zimiminike kuomba radhi na mda si punde kutarekebihswa.
Sawa,na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?
Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ,kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?
Watakuja tena?
Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
Sawa tusubiri tuone impact yake...sisi TZ tulishawahi kufunga mpaka miaka ya 70...pengine wewe ni kijana mdogo...hizo ni hatua za awali...hatua nyingine zinafuatiaHAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Wakala lile fala...linapoteza dira za wakenya wengi wasio na hatiaHebu mtueleze,mnapima CVD lakini dawa hamkonayo hii nikucheza ngoma ya mabeberu ,mkuu wenu amechukua fedha za covid hivyo lazima mfanye wanavyotaka
Kenya Hawatahimili msuguano na TZ ..subiri uone kazi..uchumi wao uta-collapseLakini misuguano ya zamani na sasa mkuu, ipi katika mizania ya diplomasia ni mbaya?
Au tutegemee yale ya EAC ya 1977 kuvunjika?
Jambo jet inatua TZ? Kwanza ulishawahi kupanda ndege au unaadithiwa tu?Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.
Mapumbavu mengine yako Chadema na huko ndiyo mengiHospitali hakuna nesi wala daktari anaepima chochote cha covid-19.
Hakuna mashine za kupimia,zilipigwa marufuku na Mungu Mtu...
Tanzania tupo werevu na pia Tanzania yapo mapumbavu kama wewe na maccm yaliyoko humo maofisini yanayofanya maamuzi yakiajabu sana!
Unajisikia je? Uko upande upi?Kuanzia kesho Agosti 01 ndage zinazomilikiwa na shirika la ndege la Kenya KQ hazitaruhusiwa kutua ndani ya viwanja vya ndege vya Tanzania.
View attachment 1523102
Huo Ni upumbavu Hakuna justification yoyote kwanini tanzania imestopisha KQ kuja bongo.Nani ametukuzwa tena? Kenya kapiga marufuku sisi kuingia kwao na sisi tumemtandika panapouma zaidi ndege isije. What is Kenya? UAE mbona hawakupiga marufuku watu wametoa utaratibu tu upimwe uende na cheti. Jino kwa jino.
Ila ule wa Kenya utafanya mfurahi?Utawala wa awamu hii kwenye diplomasia na majirani kwa kweli lazima tulie
Mapumbavu mengine yako Chadema na huko ndiyo mengi