Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Nijinyonge for what masikini mwenzangu wewe?

Imeamuliwa na hao,mimi my money always is the same.

Nipo hapa nawachana mlivyo na akili za mchwa kwa kutoa maamuzi ambayo hata kichaa wa mirembe anafanya!

Tumieni akili zaidi sio majawabu marahisi namna hii.

Bure kabisa nyie!

Y'all make y'all seen light weight

Good riddance!
Ungekuwa na akili usingelaumu Tanzania ambayo imefanya exactly kama ilivyofanya Kenya, unapaswa kuilaumu Kanya kwa provocation, sio Tanzania kwa retaliation
 
Sawa,na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?

Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ,kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?

Watakuja tena?

Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
Mbona una hasira sana wewe? Ulitaka tz ifanyaje? Wao wamezuia za kwetu kwenda kwao alafu unataka wao wavinjari tu hapa kwetu kisa nini?
 
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu..itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi,huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Wacha tuonyeshe rangi za chupi zetu vzr kabla hatujaingia kwenye ndoa za maumivu kwa vizazi
 
Mmmh inaelekea age yako ni ya ujana...msuguano wa Kenya na Tanzania ni wa enzi na enzi
Lakini misuguano ya zamani na sasa mkuu, ipi katika mizania ya diplomasia ni mbaya? Au tutegemee yale ya EAC ya 1977 kuvunjika?
 
I'm sorry to say this , hatua walochukua Kenya kuzuia ndege za Tanzania ni ya kihuni kwani wanakuwa watatujaribu "our patience".

Zama hii hakuna masuala ya kujaribianajaribiana ni kazi tu.

Sasa huko nyuma ya pazia tunangojea simu zimiminike kuomba radhi na mda si punde kutarekebihswa.
Hivi ni flights za Tanzania pekee zimezuliwa kutua Kenya? Nchi nyingi zimo kwenye zuio ,je zimejibu vipi zuio?
 
Sawa,na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?

Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ,kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?

Watakuja tena?

Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!

Kwahio wewe ulitaka au ungefurahi kuona Kenya imefanya uamuzi sahihi?

Halafu ulitaka Tanzania ianze kuomba mazungumzo?

Don't be a pleb man, I trust you on this one.
 
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Sawa tusubiri tuone impact yake...sisi TZ tulishawahi kufunga mpaka miaka ya 70...pengine wewe ni kijana mdogo...hizo ni hatua za awali...hatua nyingine zinafuatia
 
Hebu mtueleze,mnapima CVD lakini dawa hamkonayo hii nikucheza ngoma ya mabeberu ,mkuu wenu amechukua fedha za covid hivyo lazima mfanye wanavyotaka
Wakala lile fala...linapoteza dira za wakenya wengi wasio na hatia

Kuwa kiongozi na hujui nini maana ya njaa ni tabu sana
 
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.
Jambo jet inatua TZ? Kwanza ulishawahi kupanda ndege au unaadithiwa tu?
 
Kwa msongamano unaoendelea Covid haiezi pungua Tz
 
Hospitali hakuna nesi wala daktari anaepima chochote cha covid-19.

Hakuna mashine za kupimia,zilipigwa marufuku na Mungu Mtu...

Tanzania tupo werevu na pia Tanzania yapo mapumbavu kama wewe na maccm yaliyoko humo maofisini yanayofanya maamuzi yakiajabu sana!
Mapumbavu mengine yako Chadema na huko ndiyo mengi
 
Nani ametukuzwa tena? Kenya kapiga marufuku sisi kuingia kwao na sisi tumemtandika panapouma zaidi ndege isije. What is Kenya? UAE mbona hawakupiga marufuku watu wametoa utaratibu tu upimwe uende na cheti. Jino kwa jino.
Huo Ni upumbavu Hakuna justification yoyote kwanini tanzania imestopisha KQ kuja bongo.

Tunaona Ulaya nchi inaipiga ban nchi nyingine ila hatuoni huu upuuzi wa kukomoana. Huu ujinga uko Bongo tu.

Na kwasababu nchi imejaa viongozi wa hovyo raia mizigo mnaishia kukenua.
 
Badae Uhuru atapiga simu kumuelekeza Stone waondoe tofauti zao. Yani Uhuru anamuendesha sana mzee wetu aisee
 
Mapumbavu mengine yako Chadema na huko ndiyo mengi

Mkuu Kenya jana ilitoa orodha ya nchi 11 na ikasema Tanzania imo kwenye nchi ambazo ndege zake zaruhusiwa kutua Kenya.

Leo wakaja na orodha ingine kwamba inayoonyesha Tanzania haimo kwenye orodha.

Sasa wapo wapumabvu hapa ambao hawakuona ile orodha ya awali na wala hawafahamu kwamba ilikuwepo na kwamba Kenya wanacheza game.
 
Back
Top Bottom