Serikali ya Ubeligiji Yaipatia Serikali Ya Tanzania Euro Milioni 4 Kwa Ajili ya Mradi wa Maji Mkoani Kigoma

Serikali ya Ubeligiji Yaipatia Serikali Ya Tanzania Euro Milioni 4 Kwa Ajili ya Mradi wa Maji Mkoani Kigoma

Angekuwepo hayati na mpwa wake hizi pesa zingeelekezwa katika miradi ya maendeleo Chato
 
wewe ndio wateseka, mim nina mshara maisha yangu yote, nina mafuta kwa wiki lita sabini, nina nyumba na wartoto wanasomeshwa kwa kodi zenu.
Kodi zetu? Unadhani wote tunakatwa Kodi kiboya boya, baki kuwa mtumwa wa serikali kwa ltrs za mawese na ada za watoto
 
Hapo Sawa, inashangaza licha ya kuwa na ziwa Tanganyika ambalo ni la pili kwa kina kirefu duniani bado kigoma maeneo mengi wanamaliza hadi wiki 1 na siku kadhaa bila maji na mradi mpya umeshaanza kazi
 
Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni

Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba alisaini makubaliano hayo pamoja na Balozi wa Ubeligiji nchini Peter Van Acker

View attachment 1762535

View attachment 1762536

View attachment 1762537

View attachment 1762538
Angalia danadana za barakoa na mabeberu wa tundulissu. Sometimes I feel really proud to be back and Tanzanian.
 
Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni

Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba alisaini makubaliano hayo pamoja na Balozi wa Ubeligiji nchini Peter Van Acker

View attachment 1762535

View attachment 1762536

View attachment 1762537

View attachment 1762538
Hivi Ndugai yuko wapi!?
 
Back
Top Bottom