slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 312
- 363
hawa mabeberu sisi ni matajiriHizi hela wametoa huku Lisu akiwa chumbani kwao kabisa?
Sasa hajisikii aibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa mabeberu sisi ni matajiriHizi hela wametoa huku Lisu akiwa chumbani kwao kabisa?
Sasa hajisikii aibu?
Kisa kupatiwa pesa nchi tajiri sisi ni matajiriNawaona kina Tundu na Zito wanavyoumia
Kisa kupatiwa pesa nchi tajiri sisi ni matajiri
Wapinga maendeleo mnajulikana tu...[emoji3][emoji28][emoji28] Bado unaota ww MATAGA..
Kwaio 2025 tungekua DONA KANTRE chini ya "Ntu ya dili" [emoji23]
wewe ndio wateseka, mim nina mshara maisha yangu yote, nina mafuta kwa wiki lita sabini, nina nyumba na wartoto wanasomeshwa kwa kodi zenu.Unateseka?
Ambapo angezipeleka kujenga Gereza ChatoDoto James,ilikuwa kazi yako,sasa itakuwaje
Kodi zetu? Unadhani wote tunakatwa Kodi kiboya boya, baki kuwa mtumwa wa serikali kwa ltrs za mawese na ada za watotowewe ndio wateseka, mim nina mshara maisha yangu yote, nina mafuta kwa wiki lita sabini, nina nyumba na wartoto wanasomeshwa kwa kodi zenu.
kila unachonunua dukani inclunging pedi unayovaa imelipa kodi.Kodi zetu? Unadhani wote tunakatwa Kodi kiboya boya, baki kuwa mtumwa wa serikali kwa ltrs za mawese na ada za watoto
Angalia danadana za barakoa na mabeberu wa tundulissu. Sometimes I feel really proud to be back and Tanzanian.Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba alisaini makubaliano hayo pamoja na Balozi wa Ubeligiji nchini Peter Van Acker
View attachment 1762535
View attachment 1762536
View attachment 1762537
View attachment 1762538
Hivi Ndugai yuko wapi!?Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Emanuel Tutuba alisaini makubaliano hayo pamoja na Balozi wa Ubeligiji nchini Peter Van Acker
View attachment 1762535
View attachment 1762536
View attachment 1762537
View attachment 1762538