Hapa tatizo nini?Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
Kwanini walifanya hivi?2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
Sasa kama wana mitandao yao, kwanini wakomae na mitandao ya Wazungu??3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
Hii ni mateso kivipi??4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
Hata German hairuhusiwi kuzungumzia Hitler.5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Nasikia hata jina Hitler huwezi kumpa mtotoHapa tatizo nini?
Kwanini walifanya hivi?
Sasa kama wana mitandao yao, kwanini wakomae na mitandao ya Wazungu??
Kwamba kutumia mitandao ya wazungu, ndio kutoteseka??
Hii ni mateso kivipi??
Hata German hairuhusiwi kuzungumzia Hitler.
Hata Ulaya au duniani ukiwakosoa Jews ni kosa??
Ukitaja neno Nigga ni kosa. Ukiwakosoa mashoga ni kosa
Nimekaa China Nina marafiki wa kichina..Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Ni kweli bossNamba 4 uongo mkubwa kuhusu Facebook.
KAZI ni kipimo cha utu
Mfuasi wa chadomi utamjua tu, sifa kubwa ni uwongo. Hilo la raia ili kutembelea jimbo lingine mpk kibali ni uwongo km kawaida yenu. Magufuli angekuwa hai ht ninyi nyumbu mkizushiana uwongo wenu vyumbani. Ht kwa Kagame na Museveni huwezi ona huo upumbavu wenu, huo upumbavu uko Kenya. Serikali lazima iweze kudhibiti raia wake.Hapa tatizo nini?
Kwanini walifanya hivi?
Sasa kama wana mitandao yao, kwanini wakomae na mitandao ya Wazungu??
Kwamba kutumia mitandao ya wazungu, ndio kutoteseka??
Hii ni mateso kivipi??
Hata German hairuhusiwi kuzungumzia Hitler.
Hata Ulaya au duniani ukiwakosoa Jews ni kosa??
Ukitaja neno Nigga ni kosa. Ukiwakosoa mashoga ni kosa
Hiyo mnayoita demokrasia mchina aliligundua mapema ni chaka la kuharibu nchi, wangeiendekeza mpk leo China ingekuwa maskiniMauaji ya Tiananmen Square yalikuwa dhidi ya wanafunzi wapigania demokrasia
Acheni uongo kama kitu hamkijui kaeni kimya. Hakuna raia wa china anaeomba kibali akitaka kwenda jimbo lingine chief. Ila ukiwa jimbo lako mwanao atasomeshwa bure na serikali ila ukiamia jimbo lingine utamlipia. Ila mtoto huyo huyo akifaulu vizur anasomeshwa bure. Majimbo pekee mchina anaenda kwa kibali ni yale yanayojitawala, kama hong kong, Macau, Taiwan nk. WhatsApp ipo Ila sio kila jimbo na ipo ukiisajili kama mchina, na miji kama Shanghai shenzhzen Beijing mitandao mingi ipo. Hili la din kufuata maelekezo ni muhim na maelekezo sio kubadili namna ya kuabudu ni kule kufuata sheria za China, kwanini husemi huku mashoga lesbian na LGBTIQA hawaruhusiwi. Mfumo wa china wa maisha ndio mzur kwa dunia tuliyopo kwa sasa. Watu wengi hawapeleki watoto ulaya kusoma siku hiz wanaepuka watoto kuwa mashoga wanawaleta far easternControl ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Ulipokaa China au kutoka kwa hao marafiki zako Wachina uliweza kujua chochote kuhusu "Hukou system" ?Nimekaa China Nina marafiki wa kichina..
namba 2 ni Uongo wachina wapo free kutika jimbo moja kwenda Jingine ..
Namba 3 ni sawa kulinda maadili na tamaduni za kichina. Na pia propaganda za west.
Namba 4 kunaweza kukawa na ukweli
Namba 5 ni kweli
Wapo sahihi kabisaa safi saaana.Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Actualy kuna time nyerere alicopy aina ya utawala wao wakati tunajitafuta baada ya uhuru, is why katiba yetu iko kama ilivyo leo. But baadae democracy ikaingia, but mwalimu alikuwa bado ameacha ule mfumoWao wana tofauti gani na sisi? Ka nchi kadogo lakini udhibiti ni wa kutisha.
Hapa kwetu wankamata mmoja mmoja wanampoteza, ukiibua kichwa wana wewe.
Unaona wote tumekubali kuwa makondoo.
Wanaogopa kufa, kama sisi tu.
Acha uongo mitandao yote ya kijamii ya kiMagharibi imezuiwa isipatikane kwa raia wa kawaida China kupitia "great firewall of China", labda utumie VPN ambapo ni kosa kishera, hata hivyo baadhi ya viongozi wachache wa juu wa serikali ya China wanaruhusiwa na wanaweza kutumia hiyo mitandao iliyozuiliwa kwa raia wa kawaida.Acheni uongo kama kitu hamkijui kaeni kimya. Hakuna raia wa china anaeomba kibali akitaka kwenda jimbo lingine chief. Ila ukiwa jimbo lako mwanao atasomeshwa bure na serikali ila ukiamia jimbo lingine utamlipia. Ila mtoto huyo huyo akifaulu vizur anasomeshwa bure. Majimbo pekee mchina anaenda kwa kibali ni yale yanayojitawala, kama hong kong, Macau, Taiwan nk. WhatsApp ipo Ila sio kila jimbo na ipo ukiisajili kama mchina, na miji kama Shanghai shenzhzen Beijing mitandao mingi ipo. Hili la din kufuata maelekezo ni muhim na maelekezo sio kubadili namna ya kuabudu ni kule kufuata sheria za China, kwanini husemi huku mashoga lesbian na LGBTIQA hawaruhusiwi. Mfumo wa china wa maisha ndio mzur kwa dunia tuliyopo kwa sasa. Watu wengi hawapeleki watoto ulaya kusoma siku hiz wanaepuka watoto kuwa mashoga wanawaleta far eastern