Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
We jamaa huna akili unataka nani akuchagulie pakuishi sasa.China ina mambo yake mazuri pia ila ukiniambia nichague pa kuishi kati ya China na Marekani mbovu ya Trump na MAGA wake nitaichagua Marekani mara 1000, nafikiri na wewe pia ni hivyo.