Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,435
- 3,120
Huwezi kuongoza watu bilioni 2 kidemokrasia, hizo ni ndoto na kuruhusu huo ujinga nchi inapasukaMauaji ya Tiananmen Square yalikuwa dhidi ya wanafunzi wapigania demokrasia
Huwezi kuongoza watu bilioni 2 kidemokrasia, hizo ni ndoto na kuruhusu huo ujinga nchi inapasukaMauaji ya Tiananmen Square yalikuwa dhidi ya wanafunzi wapigania demokrasia
Hao hawajafika majimbo yote ya US wanaweza kuwa hawana tofauti kubwa sana na wewe ambaye hujakanyaga US.Kiranga Nyani Ngabu vp huko usa hii comment ya yoda yupo sahihi au vp?
Kunaweza kuwa na ukweli katika hili kwani China kama taifa imetoka katika mojawapo ya Empires za kale zaidi duniani lakini tofauti na Empires nyingine zote ambazo zilifuata au kujaribu kufuata njia ya demokrasia yenyewe haijawahi kuingia kabisa katika demokrasia na haijameguka hata kidogo.Huwezi kuongoza watu bilioni 2 kidemokrasia, hizo ni ndoto na kuruhusu huo ujinga nchi inapasuka
social medias zimeivua ngua marekani mkuuHao hawajafika majimbo yote ya US wanaweza kuwa hawana tofauti kubwa sana na wewe ambaye hujakanyaga US.
Fikiria jimbo lenye uchumi mdogo zaidi US ni Vermont yenye GDP ya $billion 40 na wakazi kama laki saba tu.
Tena bora ya China na Tz kuliko US. US kuna miji inafungwa kwa watu kukimbia, majumba yanaoza kunakuwa kama kiama kimeipitia. Hapo ni miji, huko vijijini ndiyo balaa, karibu kila kijiji kinapoteza watu. Mi sidhani kama China inabana raia wake, inafanya maamuzi rational kwa ajili ya nchi yake. Uliberali wa watu kwenda "watakavyo" ni hatari kwa jamii nzima.Kwa nini watu wote wanataka kuhamia miji kama Shanghai? Kwa nini wasibaki kwenye majimbo yao tu??
Nitakufahamisha, maendeleo ya China ni kama vile Tanzania inavyoendelea, watu wanakimbilia Dar, Mwanza na Arusha kwa sababu miji mingine iko nyuma sana. Hiyo ni tofauti na nchi kama Marekani ambayo unakuta majimbo mengi kama sio yote yako vizuri na yamekamilika kila idara.
Mbona wale wameruhusu watu wafumuliwe marinda ila wameachwa na maisha yao,,,,,kila nchi na taratibu zake na tamaduni zake hio ndo sovereignty haya mambo yakutaka kuiga wazungu mwisho wa siku ndo mnaambiwa hampewi hela hadi na nyie mruhusu kufumuliwa marinda kama waoControl ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.
1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.
2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.
3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k
4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.
5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Social media kumejaa miji ya Marekani inayooza na vijiji vilivyoachwa ukiwasocial medias zimeivua ngua marekani mkuu
NAam naam bila shakaSocial media kumejaa miji ya Marekani inayooza na vijiji vilivyoachwa ukiwa
Hata China ni ruhusa kufumiliwa marinda.Mbona wale wameruhusu watu wafumuliwe marinda ila wameachwa na maisha yao,,,,,kila nchi na taratibu zake na tamaduni zake hio ndo sovereignty haya mambo yakutaka kuiga wazungu mwisho wa siku ndo mnaambiwa hampewi hela hadi na nyie mruhusu kufumuliwa marinda kama wao
Americans wanathibitisha hilo ila weww mtetezo wao unakataa, 🤣Nitajie mji uliooza Marekani, Kijiji kuachawa ukiwa kunaweza kuwa na sababu nyingi zenye mantiki, huo sio mjadala hapa.
Kwanza hata haihusiani, watu kukimbia kijijini kwao na kuja Dar au Tibet kwenda Shangai ni tofauti kubwa sana na watu wanaoondoka mahali kulikuwa na machimbo ya madini yakaisha au viwanda vikafa.Americans wanathibitisha hilo ila weww mtetezo wao unakataa, 🤣
Tatizo unadhani hata us watu hawatoki kigoma kwenda dar ya huko mamtoniKwanza hata haihusiani, watu kukimbia kijijini kwao na kuja Dar au Tibet kwenda Shangai ni tofauti kubwa sana na watu wanaoondoka mahali kulikuwa na machimbo ya madini yakaisha au viwanda vikafa.
Marekani unaweza kuzaliwa, kusoma, kukua, kufanya kazi mpaka unazeeka na kufariki, kila kitu unachokitaka kipo katika jimbo lako (mkoa), kama si wilaya yako.Kiranga Nyani Ngabu vp huko usa hii comment ya yoda yupo sahihi au vp?
Law gani imetumika ku-freeze na ku-confsicate pesa ya Russia iliyo nchi za Ulaya mfano Ile iliyopo kwenye account za EuroClear?Ulaya kuna Law and Order ya kiwango cha juu zaidi duniani na raia bado wapo huru kuliko sehemu nyingine yoyote ile duniani pia.
sawa mkuu,Marekani unaweza kuzaliwa, kusoma, kukua, kufanya kazi mpaka unazeeka na kufariki, kila kitu unachokitaka kipo katika jimbo lako (mkoa), kama si wilaya yako.
Kika kitu, shule, chuo, kazi, etc. Kila jimbo linajitegemea.
Ukitaka kwenda mjini ni kwenda kuangalia maisha tu. Na miji mikubwa ipo karibu kila jimbo.
Hata Urusi demokrasia ni foreign conceptKunaweza kuwa na ukweli katika hili kwani China kama taifa imetoka katika mojawapo ya Empires za kale zaidi duniani lakini tofauti na Empires nyingine zote ambazo zilifuata au kujaribu kufuata njia ya demokrasia yenyewe haijawahi kuingia kabisa katika demokrasia na haijameguka hata kidogo.
Hapa tatizo nini?
Kwanini walifanya hivi?
Sasa kama wana mitandao yao, kwanini wakomae na mitandao ya Wazungu??
Kwamba kutumia mitandao ya wazungu, ndio kutoteseka??
Hii ni mateso kivipi??
Hata German hairuhusiwi kuzungumzia Hitler.
Hata Ulaya au duniani ukiwakosoa Jews ni kosa??
Ukitaja neno Nigga ni kosa. Ukiwakosoa mashoga ni kosa