Serikali ya Ukomunisti ya China imewakanyagia chini sana raia wake, wanaogopa nini?

Hokou system sio kwenye elimu tu ni huduma zote za kijamii mfano hospital n.k pamoja fursa za kazi, ajira mikopo n.k, mpaka uwe na kibali cha kuonyesha umekubaliwa kutoka jimbo moja kwenda lingine.
Ambayo iko very smart kwasababu kila jimbo linajitegemea. Ashum mtu katoka Shanghai kaenda Hangzhou huko. Kwa ule uchache wao jimbo linawezaje kuwahudumia hao wote. Wapo sahihi sana.
 
Wamarekani wanaikubali sana RedNote wanasema sasa hivi wanaiona China tofauti na vyombo vyao vya habari vilivyokuwa vinawaambia.

Kuna dogo mmoja hivi youtuber wa kimarekani shabiki wa Cristiano Ronaldo amepata umaarufu mkubwa China alipoenda kufanya Live streaming na maoni ya marekani yanayo onesha ni watu gani waliokuwa wanafanyiwa censorship ya kipuuzi kati ya China ama US

Mind you marekani ilikuwa ikitenga 1.6 USD Billion kwa ajili tu ya Anti-China propaganda
Kwa nini serikali ya China inazuia mitandao mikubwa ya kijamii ya kidunia ili raia wengi wa China wasione maisha ya Magharibi??
 
Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.

1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.

2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.

3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k

4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.

5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Ukiambiwa uhuru na kazi ujuwe vizuri. Socialist ni siasa mbaya sana trust me. Hiyo ni siasa ya shetani ila Mungu ni democratic ukitaka nenda kwake na ukitaka nenda kwa shetani uhuru ni wako shetani ni tofauti hataki hata mmoja amuone Mungu yaani anataka wote mwende motoni na mbaya kuliko yote akikupa utajiri ukamuacha anakunyang'anya huyo ndio Yulusifa baba wa ujamaa.. ujamaa ukiwa tajiri sana wanakuchukulia huwezi kuwa na nguvu kuliko serikali ndio maana matajiri wa china kula kinyongo secunde tu
 
Wasione nini ? Unafananisha China na North Korea ama

Hakuna wachina kitu hawajui kuhusu dunia wewe unafahamu hizo sijui X,Instagram,Facebook,YouTube wapo wachina wengi tu
 
Acha uongo mitandao yote ya kijamii ya kiMagharibi imezuiwa isipatikane kwa raia wa kawaida China kupitia "great firewall of China", labda utumie VPN ambapo ni kosa kishera, hata hivyo baadhi ya viongozi wachache wa juu wa serikali ya China wanaruhusiwa na wanaweza kutumia hiyo mitandao iliyozuiliwa kwa raia wa kawaida.
Uongo gan mi hapa nipo shenzhen na nautumia WhatsApp na nimchina kanidowloadia hebu uliza mtu anaetoka dar anaefanya biashara china kama hajakuambia saplaya wake kama anayo WhatsApp. Shida ni kuwa wachina wenyewe hawazipend mitandao za kimgharibi wao wechat ndio zaid. Na hizo sheria unazosema sio kila jimbo . Nimekuambia ukiwa shenzhen Shanghai Beijing na Macau au Hong Kong mitandao yote inapatikana. Ila wachina wenyewe hawshobokei mambo ya western kama sisi kaka. Hutaki unaacha. Kama huna WhatsApp na upo china njoo inbox nikuelekeze namna ya kudowload acha kuish kwa kukariri chief
 
Ukiambiwa uhuru na kazi ujuwe vizuri. Socialist ni siasa mbaya sana trust me. Hiyo ni siasa ya shetani ila Mungu ni democratic ukitaka nenda kwake na ukitaka nenda kwa shetani uhuru ni wako shetani ni tofauti hataki hata mmoja amuone Mungu yaani anataka wote mwende motoni na mbaya kuliko yote akikupa utajiri ukamuacha anakunyang'anya huyo ndio Yulusifa baba wa ujamaa.. ujamaa ukiwa tajiri sana wanakuchukulia huwezi kuwa na nguvu kuliko serikali ndio maana matajiri wa china kula kinyongo secunde tu
Wewe kwanza tuambie Ben yupo wapi ? Wewe ndie shetani mkuu
 
Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.

1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.

2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.

3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k

4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.

5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Hizi ni propaganda na kuna sasa wamarekani na watu kutoka ulaya wameanza kuzunguka china na kuwambia wenzao kuwa wanayoambiwa na serikali na vyombo vyao si kweli. Wanawambia kuwa wamegundua china iko mbele ya muda kuliko kwao na ndicho serikali zao hazitaki raia wajue.
Wengi waliobahatika kufika china walishangaa...akiwepi ispeedshow
 
Kama ujamaa ni mzuri hivyo kwa nini serikali ya China inazuia raia wake kupata habari za nje ya China na kuwa na mawasiliano huru yasiyo ya censorship na raia wa nchi nyingine za dunia ya ulimwengu wa kwanza??
Kwanini Marekani inazuia Tiktok, na sasa iko busy na tarrif war??

Wao si ni mabingwa wa Ubepari, waache dunia ishindanie kwao.
 
Hao wanafunzi waliua askari na waliwachoma moto kila pande ilikuwa na makosa yake.

Mind you General Secretary wa CCP wakati huo Zhao Ziyang aliwafuata hapo hapo Tiananmen na akakutana na viongozi wa waandamanaji hata paramount leader Deng Xiaoping alikutana nao hao CCP walisema madai yao yatatuliwa lakini waandamanaji hawakuelewa waliona usanii guess what PLA ikatangaza martial law na wanafunzi wote waondoke baada ya hali kuzidi kuchafuka Beijing kilichofuata unajua mwenyewe.
Law and Order is everything for every society.
Kuzuia foreign agents interference lazima kuzima matukio ya uvunjifu amani kama hayo.
 
Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.

1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.

2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.

3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k

4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.

5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Namba 3 ni uongo wa mchana! WhatsApp wanatumia na kuna wengi nawasiliana nao
 
Kwanini Marekani inazuia Tiktok, na sasa iko busy na tarrif war??

Wao si ni mabingwa wa Ubepari, waache dunia ishindanie kwao.
Kwa sababu Marekani ya sasa iko chini ya utawala wa kipuuzi wa Trump.
 
Uzuri wao maendeleo yanaonekana,
Hapa ndipo ilipo shida.

Cc huku tunayo yote hayo mamitanda ila hamna cha maana tofauti na kuomba omba na maendeleo duni. Ujanja eti ninkutumia Twita, fesibuku na wasapu, wanaita utandawazi.

Sasa wananchi wanayataka hayo au wanahitaji maendeleo? Nani anayasimamia hayo maebdeleo ili yaje yenyetija kwa taifa?

Katika vita vya maendeleo, hayo ni mamitamdao yanayoweza tumowa na watu kuchochea vurugu nchini. China kwa vita waliyonayo, isingekua udoctator wa hicho chama, wasingefika hapo walipo.

Nchi hii hiyo mitandao inatumika kutangaza bidhaa za mataifa ya nje hasa china. Sisi tunawasaidia kutafuta wateja kwa bidhaa zao
 
Ambayo iko very smart kwasababu kila jimbo linajitegemea. Ashum mtu katoka Shanghai kaenda Hangzhou huko. Kwa ule uchache wao jimbo linawezaje kuwahudumia hao wote. Wapo sahihi sana.
Ulichokuwa unabisha ni nini kuhusiana na vikwazo vya raia Wachina kuzunguka kwa uhuru ndani ya nchi yao?
 
Uongo gan mi hapa nipo shenzhen na nautumia WhatsApp na nimchina kanidowloadia hebu uliza mtu anaetoka dar anaefanya biashara china kama hajakuambia saplaya wake kama anayo WhatsApp. Shida ni kuwa wachina wenyewe hawazipend mitandao za kimgharibi wao wechat ndio zaid. Na hizo sheria unazosema sio kila jimbo . Nimekuambia ukiwa shenzhen Shanghai Beijing na Macau au Hong Kong mitandao yote inapatikana. Ila wachina wenyewe hawshobokei mambo ya western kama sisi kaka. Hutaki unaacha. Kama huna WhatsApp na upo china njoo inbox nikuelekeze namna ya kudowload acha kuish kwa kukariri chief
Wanaotumia WhatsApp wanatumia VPNs kama kipinde kile Twitter ilivyozuiliwa bongo.
 
Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.

1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.

2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.

3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k

4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.

5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Ndio Ucommunisti ulivyo..
 
Hizi ni propaganda na kuna sasa wamarekani na watu kutoka ulaya wameanza kuzunguka china na kuwambia wenzao kuwa wanayoambiwa na serikali na vyombo vyao si kweli. Wanawambia kuwa wamegundua china iko mbele ya muda kuliko kwao na ndicho serikali zao hazitaki raia wajue.
Wengi waliobahatika kufika china walishangaa...akiwepi ispeedshow
Huo ni uongo mtupu, China haiko mbele kimaendeleo kuliko Marekani au Ulaya. Hao jokers wa Marekani wanapelekewa kushangaa sehemu nzuri tu ila hawawezi kupelekwa majimbo kama Tibet, Xinjiang n.k
 
Law and Order is everything for every society.
Kuzuia foreign agents interference lazima kuzima matukio ya uvunjifu amani kama hayo.
Ulaya kuna Law and Order ya kiwango cha juu zaidi duniani na raia bado wapo huru kuliko sehemu nyingine yoyote ile duniani pia.
 
Back
Top Bottom