Mkuu kuna vitu uko vizuri, ila kuna vingine maahaba yamezidi,Kwa sababu Marekani ya sasa iko chini ya utawala wa kipuuzi wa Trump.
Ishu ya Tiktok Trump kaikuta, ilianza na Biden.
Kama unakumbuka CEO wa Tiktok chew shou Zi raia wa singepore anaitwa kwenye hearing na congress, analazimishwa akubali kuwa ni mchina japo alienda ku clarify kuwa sio mchina na hana tie na CCP alipokuwa akilazimishwa na Mr Cotton.