Serikali ya Ukomunisti ya China imewakanyagia chini sana raia wake, wanaogopa nini?

Acheni uongo kama kitu hamkijui kaeni kimya. Hakuna raia wa china anaeomba kibali akitaka kwenda jimbo lingine chief. Ila ukiwa jimbo lako mwanao atasomeshwa bure na serikali ila ukiamia jimbo lingine utamlipia. Ila mtoto huyo huyo akifaulu vizur anasomeshwa bure.
Hokou system sio kwenye elimu tu ni huduma zote za kijamii mfano hospital n.k pamoja fursa za kazi, ajira mikopo n.k, mpaka uwe na kibali cha kuonyesha umekubaliwa kutoka jimbo moja kwenda lingine.
 
Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.

1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.

2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.

3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k

4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.

5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Uongo ni mwingi sana
 
Basi waliuwawa walipoanza kudai demokrasia juu ya hayo yote.
Hao wanafunzi waliua askari na waliwachoma moto kila pande ilikuwa na makosa yake.

Mind you General Secretary wa CCP wakati huo Zhao Ziyang aliwafuata hapo hapo Tiananmen na akakutana na viongozi wa waandamanaji hata paramount leader Deng Xiaoping alikutana nao hao CCP walisema madai yao yatatuliwa lakini waandamanaji hawakuelewa waliona usanii guess what PLA ikatangaza martial law na wanafunzi wote waondoke baada ya hali kuzidi kuchafuka Beijing kilichofuata unajua mwenyewe.
 
Hao wanafunzi waliua askari na waliwachoma moto kila pande ilikuwa na makosa yake.

Mind you General Secretary wa CCP wakati huo Zhao Ziyang aliwafuata hapo hapo Tiananmen na akakutana na viongozi wa waandamanaji hata paramount leader Deng Xiaoping alikutana nao hao CCP walisema madai yao yatatuliwa lakini waandamanaji hawakuelewa waliona usanii guess watu PLA ikatangaza martial law na wanafunzi wote waondoke baada ya hali kuzidi kuchafuka Beijing kilichofuata unajua mwenyewe.
Hizo ni propaganda za serikali ya China tu, waliua kwa ukatili mkubwa sana maelfu ya wanafunzi waliokuwa wanadai haki za msingi, kuondolewa censorship za kipuuzi za kikomunisti na uhuru tu ndio maana mpaka leo wameharamisha raia Wachina kuzungumzia hilo tukio kabisa.
 
Hizo ni propaganda za serikali ya China tu, waliua kwa ukatili mkubwa sana maelfu ya wanafunzi waliokuwa wanadai haki za msingi na uhuru tu ndio maana mpaka leo wameharamisha raia Wachina kuzungumzia hilo tukio.
Huyu hapa Zhao Ziyang akizungumza na protesters Tianmen Square akiwaelezea nini serikali yao inataka kufanya kuhusu demand zao hapa ni kabla kabisa mambo hayaja haribika
34df3554afc1bab2782b300bccb0c45b.jpeg
 
Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.

1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.

2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.

3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k

4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.

5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k

Ubepari ni Unyama .

Nchi yenye watu zaidi ya bil. 1 ni lazima serikali iwe na mipango mizuri ya kiuchumi na kijamii na hata kisiasa .China ina miiko yake inayowafanya kuwa binadamu(Ujamaa ) na sio wanyama (Ubepari).

Angalia ubepari au unyama ulivyo mbaya hapa Tanzania ; Wamasai wanafukuzwa na ng'ombe zao ili zitoke porini zimapokaa na wananyama wengine na kula nyasi na hata kuliwa na simba ili waende Mjini wakakae karibu na mashamba ya watu wauana na ngombe wao wakose majani .

Ng'ombe ni wanyama wanaofanana na wanauama wa porini kama Nyumbu na Nyati lakini mabepari wanawaua na kuwakandamiza wafugaji kisha wanawahamisha ili wajenge mahoteli yao huko porini wanapoika vyakula vya nyama za wanyama pori . Kutokana na pesa zao wanawadanganya umma kuwa wanasaidia wanaharibu mazingira . Wakati wao wanajenga mahotel na kuua wanyama na madege makubwa yanatua huko .

Wachina wana utulivu wa akili kuliko nchi yoyote duniani ndio maana wanakwenda juu sana kiteknolojia na kimaendeleo .
Wachina katika tamaduni zao za Kung Fu na Karate na aina ya mazoezi wanayofanya yanahitaji mtu mwenye utulivu mkubwa sana wa akili .

Kusema kuwa kuwa wanagandamizwa ni kwa misingi ya unyama wa kibeberu
 
Kama ujamaa ni mzuri hivyo kwa nini serikali ya China inazuia raia wake kupata habari za nje ya China na kuwa na mawasiliano huru yasiyo ya censorship na raia wa nchi nyingine za dunia ya ulimwengu wa kwanza??
 
Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.

1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.

2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.

3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k

4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.

5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
Mbona kukosoa mauaji na ukatili wa Israel na kukosoa ushoga ni kosa kwenye ulimwengu wa kimagharibi mbona huja wahi kuja humu kupanua midomo kuhusu hilo?
 
Kama ujamaa ni mzuri hivyo kwa nini serikali ya China inazuia raia wake kupata habari za nje ya China na kuwa na mawasiliano huru yasiyo ya censorship na raia wa nchi nyingine za dunia ya ulimwengu wa kwanza??
Kwa hiyo raia wa china hawana wala wahajui chochote kuhusu nchi nyingine?
 
Mbona kukosoa mauaji na ukatili wa Israel na kukosoa ushoga ni kosa kwenye ulimwengu wa kimagharibi mbona huja wahi kuja humu kupanua midomo kuhusu hilo?
Panua midomo yako wewe kuhusu hayo.
 
Kama ujamaa ni mzuri hivyo kwa nini serikali ya China inazuia raia wake kupata habari za nje ya China na kuwa na mawasiliano huru yasiyo ya censorship na raia wa nchi nyingine za dunia ya ulimwengu wa kwanza??
Wamarekani wanaikubali sana RedNote wanasema sasa hivi wanaiona China tofauti na vyombo vyao vya habari vilivyokuwa vinawaambia.

Kuna dogo mmoja hivi youtuber wa kimarekani shabiki wa Cristiano Ronaldo amepata umaarufu mkubwa China alipoenda kufanya Live streaming na maoni ya marekani yanayo onesha ni watu gani waliokuwa wanafanyiwa censorship ya kipuuzi kati ya China ama US

Mind you marekani ilikuwa ikitenga 1.6 USD Billion kwa ajili tu ya Anti-China propaganda
 
Back
Top Bottom