Serikali ya Ukomunisti ya China imewakanyagia chini sana raia wake, wanaogopa nini?

Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso.

1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja.

2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii.

3. Ni mojawapo ya mataifa yaliyozuia kabisa mitandao ya kijamii isiyo ya kichina. China hakuna WhatsApp, Twitter, Facebook, YouTube n.k

4. Dini zote lazima zifuate maelekezo ya serikali ya CCP na zijiepushe kutukuza mambo au tamaduni zisizoendana na tamaduni za kichina katika dini zao.

5.Kuna mada hata za historia ukizizungumzia katika umma ni kosa la jinai kama vile mauaji ya Tiananmen Square n.k
ulaya na marekani issue ya palestine na israel imekuja kutuonesha kua anayoyafanya china wao wanayafanya kwa kiwango cha juu sana.

mchina aendelee kupiga kazi tu
 
2. Watu wote wanataka kuhamia miji kama Shanghai. Sasa shule na mahospitali vinaelemewa. So ukiwa muhamiaji mwanao hapati shule.
3. Kuwa na time zone moja siyo shida. Huyu wa Beijing atajua muda wa kuamka na yule wa sijui Xinjiang naye atajua muda wa kuamka.
 
Ulichokuwa unabisha ni nini kuhusiana na vikwazo vya raia Wachina kuzunguka kwa uhuru ndani ya nchi yao?
Wanazunguka freely popote atakapo isipokuwa ukiwa jimbo A kama wewe ni wa jimbo B huwez kupata huduma zote za jimbo lako wapo sahihi. Vip mbona huzungumzii ushoga au LGBTIQA
 
Ushoga haujakatazwa China, ni ruhusa kisheria.
 
Huo ni uongo mtupu, China haiko mbele kimaendeleo kuliko Marekani au Ulaya. Hao jokers wa Marekani wanapelekewa kushangaa sehemu nzuri tu ila hawawezi kupelekwa majimbo kama Tibet, Xinjiang n.k
Hakuna anayewapeleka wanajipeleka wenyewe... Hata kama ni kweli, hata marekani kuna sehemu zina hali mbaya watu wanalala road.
WAnashanga miundo mbinu ya usafirishaji, barabara zilivyopangwa, usafi wa miji yao, viwanda wanakiri wenyewe ni kama vitu kwenye movie za science fiction au za mambo ya future. Wengi wanakili ya kwamba walikuwa wanajihisi kuwa salama wakiwa barabarani hata usiku kuliko wakiwa kwao. Wanasema kuwa wamekuwa brain washed na serikali na vyombo vyao kwa muda mrefu kwa mambo mabaya kuhusu china bila kuwambia ukweli kuwa wameendelea kuliko wanavyoaminishwa.
 
Hizo porojo tu, China ingekuwa nzuri hivyo kusingekuwa wazamiaji haramu Wachina laki nne Marekani wanaotakiwa kuwa deported.
 
bwana mdogo speed kawapa headache sana american officials, china inapepea, hadi wafuasi wa kibongo ndo wanalalamika kama mtoa mada kwamba mfano kama hapa bongo kwanini hajaenda bonyokwa na tandale kaenda posta na masaki
 
hiyo ni kawaida kila mahali. Kuna watu wanataka kwenda ulaya wakawe walinzi, wengine wafanye kazi mashambani, lakini kuna watu huko huko ulaya wanakwambia afrika kun fursa zaidi. Kila nchi ina wahamiaji kwenyee nchi nyingine. Na kwa population yao, wachina lak 4 ni wachache sana ilibidi wawe wengi zaidi.
China is doing great na US analijua hilo na nyie tu mliyekunywa maji ya bendera ya Marekani ambao ukweli manaujua lakini hamtaki kuukiri.
Jamaa traveller na mkewe youtube anakwambia ni sehemu pekee duniani ambayo toka amefika hakutumia kabisa cash mpaka anaondoka na the system was so efficient kuliko sehemu yoyote.
 
Watu wako brain washed sana sana... hata baadhi ya wamarekani wameanza kusema kwamba wamekuwa brain washed na vyombo vyao about china. Kuna mmoja anasema kabla ya kutembea alikuwa anahisi amerika iko mbelee kwa kila kitu maana wanafundishwa hivyo shuleni, ila ametembea nchi mbalimbali ulaya akafika hadi china na akagundua miundo mbinu yao kama train za zamani, barabara zimejaa mashimo, mji michafu akashangaa ni tofauti na nchi za ulaya na china. Anasema, wanaobisha ni wale wa marekani ambao hawatembei wanahisi the world starts and ends in America, wakitoka sana wamekwenda mexico.
 
Jamaa traveller na mkewe youtubere anakwambia ni sehemu pekee duniani ambayo toka amefika hakutumia kabisa cash mpaka anaondoka na the system was so efficient kuliko sehemu yoyote.
anawasahau individual tourists wengi tu wakimarekani wanavoshangaa huduma za afya huko china na kusema kua nchini kwao wanaibiwa.

mchina apige kazi tu
 
Watu wako brain washed sana sana... hata baadhi ya wamarekani wameanza kusema kwamba wamekuwa brain washed na vyombo vyao about china. Kuna mmoja anasema kabla ya kutembea alikuwa anahisi amerika iko mbelee kwa kila kitu maana wanafundishwa hivyo shuleni, ila ametembea nchi mbalimbali ulaya akafika hadi china na akagundua miundo mbinu yao kama train za zamani, barabara zimejaa mashimo, mji michafu akashangaa ni tofauti na nchi za ulaya na china. Anasema, wanaobisha ni wale wa marekani ambao hawatembei wanahisi the world starts and ends in America, wakitoka sana wamekwenda mexico.
naam mkuu ngoja niweke clip moja hapa naikubali sana
 
anawasahau individual tourists wengi tu wakimarekani wanavoshangaa huduma za afya huko china na kusema kua nchini kwao wanaibiwa.

mchina apige kazi tu
Yes kuna mmoja anasema alienda kumwona daktari aliumwa akiwa china, anasema kwanza daktari alimhudumia vizuri sana akawa anahisi atadaiwa ela ndefu. akshangaa bill haifiki ahta dola mia, anasema alikuwa na travel insurance hata akaamua tu alipe mwenyewe si kwa insurance. anakwambia huduma za afya ni top notch na kwa gharama ndogo sana. Anasema ingekuwa marekani huduma alizopata zingekuw hundreds of dollars.
Mmoja anasema alichogundua ni kwamba vyombo vyao vina proganda sana ukiwa kwao unaweza kuhisi labda china watu wanaishi kwa hofu sana, ila amegundua serikali yao kila kitu kiko centered kuboresha maisha ya raia.
 
Huo ni uongo mtupu, China haiko mbele kimaendeleo kuliko Marekani au Ulaya. Hao jokers wa Marekani wanapelekewa kushangaa sehemu nzuri tu ila hawawezi kupelekwa majimbo kama Tibet, Xinjiang n.k
Marekani ndio kuna maeneo ya ovyo kama Detroit, Memphis,

Nchi nzima risasi muda wowote kama wako kwenye civil wars
 
Yes kuna mmoja anasema alienda kumwona daktari aliumwa akiwa china, anasema kwanza daktari alimhudumia vizuri sana akawa anahisi atadaiwa ela ndefu. akshangaa bill haifiki ahta dola mia, anasema alikuwa na travel insurance hata akaamua tu alipe mwenyewe si kwa insurance. anakwambia huduma za afya ni top notch na kwa gharama ndogo sana. Anasema ingekuwa marekani huduma alizopata zingekuw hundreds of dollars.
Mmoja anasema alichogundua ni kwamba vyombo vyao vina proganda sana ukiwa kwao unaweza kuhisi labda china watu wanaishi kwa hofu sana, ila amegundua serikali yao kila kitu kiko centered kuboresha maisha ya raia.
naam mkuu, vyombo vya habari huko amerika na ulaya zinawazingua wananchi kwa kuwapa habari zilizo na mlengo fulani hili si siri tena na wao wapo front sana siku hizi wanaelimishana.

cheki hii clip naikubali sana

View: https://youtu.be/da6FNOYDOA4?si=U35ft8EpIv4ys7vE
 
hiyo ni kawaida kila mahali. Kuna watu wanataka kwenda ulaya wakawe walinzi, wengine wafanye kazi mashambani, lakini kuna watu huko huko ulaya wanakwambia afrika kun fursa zaidi. Kila nchi ina wahamiaji kwenyee nchi nyingine. Na kwa population yao, wachina lak 4 ni wachache sana ilibidi wawe wengi zaidi.
China is doing great na US analijua hilo na nyie tu mliyekunywa maji ya bendera ya Marekani ambao ukweli manaujua lakini hamtaki kuukiri.
Jamaa traveller na mkewe youtube anakwambia ni sehemu pekee duniani ambayo toka amefika hakutumia kabisa cash mpaka anaondoka na the system was so efficient kuliko sehemu yoyote.
Kwa nini Wazungu kutoka Marekani, Canada na Ulaya hawazamii na kuishi China??
 
2. Watu wote wanataka kuhamia miji kama Shanghai. Sasa shule na mahospitali vinaelemewa. So ukiwa muhamiaji mwanao hapati shule.
Kwa nini watu wote wanataka kuhamia miji kama Shanghai? Kwa nini wasibaki kwenye majimbo yao tu??
Nitakufahamisha, maendeleo ya China ni kama vile Tanzania inavyoendelea, watu wanakimbilia Dar, Mwanza na Arusha kwa sababu miji mingine iko nyuma sana. Hiyo ni tofauti na nchi kama Marekani ambayo unakuta majimbo mengi kama sio yote yako vizuri na yamekamilika kila idara.
 
unachekesha sana mkuu
 
Kiranga Nyani Ngabu vp huko usa hii comment ya yoda yupo sahihi au vp?
 
Back
Top Bottom