PostGE2025 Serikali yaagiza Kanisa la Gwajima (Ufufuo na Uzima) lifunguliwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
That why Mimi waga nasema tatizo la nchi hii sio katiba, tunaweza tukawa na katiba nzuri sana lkn kwa aina ya hawa viongozi wetu wasiojali katiba Wala kuifuata ni kazi Bure. Kwa mfano katiba ya sasa tulionayo kama ikifuatwa vzr huwezi kukuta ujinga kama huu wa fungia fungua ,kamata achia, wape usiwape.

Tudill kwanza na viongozi waziheshimu Sheria, wafute katiba tofauti na hapo ni kazi Bure ndugu zangu( mifano tunayo)

Sawa tutaandika katiba mpya je aina hiii ya viongozi wataiheshimu??
 

Katiba mpya inampunguzia nguvu rais. Katiba ya sasa imemfanya rais kuwa mungu mtu. Ndio maana kila mtu anamwabudu yeye. Rais hasiye na nguvu kiasi hiki inaleta check and balance, baadhi ya taasisi zinakuwa huru bila kuogopa kushugulikiwa.
 
Mwigulu ameiingilia mahakama kwa kuamuru Kanisa la Ufufuo na uzima kifunguliwa mara moja.

Katiba hii ifumuliwe ili viongozi wasiwe miungu watu
Naunga mkono katiba ifumuliwe lkn kwa aina hii ya viongozi tutaludi hapa kulia tena
 
Ni kweli Inaonekana ni uzalendo.
Ila, kwa wao sirikali ni mafanikio, mtego wao umenasa.

Walichofanya serikal ni kutekeleza nahau isemayo "TENGENEZA TATIZO KWA MTUMWA WAKO KISHA LITATUE, ATAKUSHANGILIA NA KUSAHAU KABISA UBAYA WAKO".
Duu Asante, nilikua sijausoma huu mchezo vizuri.

Kweli hapa Kuna uhuni unaendelea
 
Je MWIGURU atatenda kinyume na matakwa ya Mama?
Je kufunguliwa kwa KANISA la gwaji ni TAKWA la mama?

Haya Sasa tunasubilia Soka, na wenzake
Mdude na wenzake
Na
Balozi pole pole wataachiriwa je wakiachiwa tutaaamini serikali haiteki?
MH waziri yule jamaa Alie kuwa anakuangalia sana anauliza unatumwa na Rais au UNAAMUA?
 
Script

 
Kumbe humjui vizuri mjamaa wa mawe
 
we nae ni kama akili huna,
unahisi uyo uliomtaja anaweza kufanya kitu bila maagizo kutoka juu
 
Mwigulu aliua sana watanzania alipokuwa waziri wa mambo ya ndani kwa kisingizio cha ugaidi mkuranga, na ndicho kipindi Azori Gwanda mwandishi alipotea mpaka leo.

Huyu ukimuweka kwenye lenz ukifyatua usimkose.

Tukiacha watatumaliza, tukiwashe mpaka tupate rais wa Tanganyika.
 
Msimpe sana sifa Mwigulu , kapewa maelekezo tuu, na wamejua kuendelea kuyafungia makanisa is a loosing battle, kitakachofuata kesi fake zote zitafutwa na tayari dikteta kishatangaza katiba mpya within 100 days ya utawala wake haramu, wasitutoe reli tunataka mabadiliko ya kweli na walioua wenzetu wawajibike 💯 ndio amani ya kweli itapatikana, maandamano Dec 9 ni lazima
 
Kwanini walilifunga kwanza?
 
Mtego huo, ajitokeze wamkamate.
 
Serikali yaigiza Serikali kufungua kanisa la Ufufuo na Uzima.
 
Kanisa la BICHWA KOMWE mtalifungua lini enyi mafisadi?

Tutaelewana tu.
 
Makanisa ya Gwajima wakatae utapeli huo. Wamejua wananchi wamewakataa kwahiyo wanatafuta pa kushika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…