Serikali yaagiza Mtoto Charles Mathias arushwe Darasa kutoka Chekechea hadi Primary, Babu Tale aahidi kumlipia ada

Huo ni mfano Hai wa sisi huwa tunaakili Sana ila shule hufubaza akili zetu dogo mpka aje kumaliza kidato atakuwa kawaida Sanaa labdaa aache shule kama MaGeni's wengine
 
Bongo ukiwa na uwezo mkubwa shule elimu kwako Hain mchakato mrefu, shida tusio na uwezo huo tunazeeka soma na elimu kwetu ni mchakato mrefu sana
Liangaliwe na hili
#Maendeleo ayana chama
 
Serikali za kiki ni za hovyo sana na za kishetwani.
Huku mwanangu P mwenye 5 yrs anasoma la kwanza huko wanasiasa wanataka kuchukua kiki kwa mtoto wa miaka 6
 
kwa nn hamkurusha darasa mkuu
 
unaendeleaje hapo kitengo cha utafiti NIMR
 
Sasa hii ndio habari ya kuleta hapa, wakati kuna watu tuliishia darasa la 5 tukafanya paper ya std 7 na tukachaguliwa shule za vipajai maalum.
Kwa hiyo kwavile habari yako haikuletwa hapa basi haitakiwi kwa habari za wengine kuletwa hapa eti kisa sababu habari yako haikuletwa hapa?
 
Hapo ajaruka kuruka angetoka chekechea hadi la 2 na kuendelea ikiwa na maana karushwa drs la kwanza sasa kutoka chekechea kwenda la kwanza karuka darasa gani najaribu kuwaza.
Halafu ana miaka sita..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…