Huwezi kumlaumu kwa vile hakupungukiwa. Kama ulininua bila kumtaka aliyekuuzia akupe njia, then huwezi kimlaumu jirani.Angepungukiwa nini kufanya mazungumzo na huyo mwenye geti ili asogeze ukuta kidogo hata amfidie eneo lake kidogo kidogo?
Exactly! Kama Ni eneo lake na watu walikuwa wanapita kwa hisani, Basi akiamua kuziba huwezi kumlazimisha avunje.Waziri aache mbambamba,sheria ifuate mkondo wake
Huwezi kimlaumu kwa vile hakupungukiwa. Kama ulininua bila kumtaka aliyekuuzia akupe njia, then huwezi kimlaumu jirani.
Kama Ni surveyed area, atavunjiwa, short of that akienda mahakamani anawashinda. Iko kesi ya namna hii Court of appeal!
Zanzibar huko tuwaachie wenyewe na mambo yaoKazi zimeisha ama??
Tangu lini waziri wa Ardhi akawa na mamlaka ya kuamuru nyumba kuvunjwa??
Haoni kwamba anapoka mabaraza ya nyumba mamlaka hiyo??
Mimi niliyosoma nimeona nyumba zilizojengwa mbele ya ukuta zivunjwe na siyo ukuta uvunjweKwanini ajilaani ilihali amesema nyumba ndiyo ivunjwe na siyo ukuta? Au mimi ndiyo sijaelewa!!!!
Mkuu usikimbilie kulaumu upande mmoja,Ngozi nyeusi tuna roho mbaya sana..
Sidhani kama mwenye hilo geti alishindwa kuzungumza nae waelewane.
Kwa nilivyoiona habari japo hawakwenda kwa undani, inaonekana eneo ni lake ila wananchi walikuwa wanapita (it seem like alikuwa bado hajajenga) na ndio maana wanataka kumfidia kwa maslahi ya wananchi walio wengi.
Alafu eneo lolote ambalo halijapimwa inatakiwa muwe mna mahusiano mema na majirani wenzako hasa hatua awali za ujenzi ili kama kuna matatizo ya mipaka muweze kuyaweka vizuri.Migogoro mingi inatokana na "ego"
Huko Kigamboni kuna jamaa kaziba njia waliyokuwa wanapita raia kumbe lote ni eneo lake hivyo njia ikamfata yeye ili kurahisisha upitaji.
Wananchi kwa kushirikiana na Serikali ya mtaa wakamtaka avunje mara moja, akagoma kwa sababu kiwanja chake sio njia.
Wakaamua kwenda mahakamani, huko nako wakaangukia pua.
Wakarudi kwa jamaa ili wamalize kiungwana awaachie njia, jamaa kakomaa hataki kuachia.
Hayo ndio mambo ya viwanja, viwanja, viwanja!
Huwezi kumlaumu kwa vile hakupungukiwa. Kama ulininua bila kumtaka aliyekuuzia akupe njia, then huwezi kimlaumu jirani.
Kama Ni surveyed area, atavunjiwa, short of that akienda mahakamani anawashinda. Iko kesi ya namna hii Court of appeal!
Migogoro mingi inatokana na "ego"
Ukiona video utaona kuwa jamaa Hana kosaHuyo jamaa aliyejenga ukuta, ana roho mbaya na alifanya hivyo kwa nia ovu, wivu na husda.
Ajilaani mwenyewe kabla hatujamlaani.
Hayo mabaraza ya nyumba yapo chini ya wizara gani?Kazi zimeisha ama??
Tangu lini waziri wa Ardhi akawa na mamlaka ya kuamuru nyumba kuvunjwa??
Haoni kwamba anapoka mabaraza ya nyumba mamlaka hiyo??
Wizara ya ardhi na ndio kisheria yana mamlaka ya kutatua migogoro ya ardhi na kutoa maamuzi.Hayo mabaraza ya nyumba yapo chini ya wizara gani?
Mkuu kuna mijitu ina roho ngumu huwezi amini, na hapo unaweza kuta huyo jamaa alimwomba hata amfidie pesa lakini jitu sababu ya roho mbaya iliyochanganyika na wivu linakomaa...Mimi ningekuwa ni huyo mwenye ukuta, bila kujali kama mwenye geti aliuziwa bila njia au la, ningemuachia hatua 4 - 5 bure kabisa afanye njia. Na nina uhakika nisingepungukiwa chochote. Lakini huyo ni mimi, wewe unaweza kuwa tofauti.