Huwezi kumlaumu kwa vile hakupungukiwa. Kama ulininua bila kumtaka aliyekuuzia akupe njia, then huwezi kimlaumu jirani.Angepungukiwa nini kufanya mazungumzo na huyo mwenye geti ili asogeze ukuta kidogo hata amfidie eneo lake kidogo kidogo?
Kama Ni surveyed area, atavunjiwa, short of that akienda mahakamani anawashinda. Iko kesi ya namna hii Court of appeal!