Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

kwa hiyo tozoo hazitoshi kufanya vitu vilivyokuwa vinafanyika toka uongozi wa magu au jk ambapo tozo hazikuwepoo...?? ikabdi waongeze tozo na mikopoo kila kukicha kutoa elimu tu?? nambie mradi gani mkubwa wa maana umeanzishwa ukiacha ile iliyokuwepo toka enzi za magu??
 
data za kwenye magazeti na vitabu hizo kijana
 
Hojini matumizi ya Kodi sio Kodi ya nini
Unatetea ujinga kwa malipo ya kuliwa tako
Punguani nyie,inawezekana mambo ya muhimu kwako ni kumla Mkeo tundu dogo kiasi kwamba unaona huu ni ujinga 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220721-192644.png
    86.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220720-212524.png
    125.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220720-054024.png
    214.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220719-201558.png
    182.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220719-201650.png
    158.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220719-201445.png
    265.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220719-201146.png
    126.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220719-201024.png
    174.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220719-200814.png
    168.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220719-200535.png
    142.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220719-085937.png
    143 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220719-063135.png
    193.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220718-154203.png
    187.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220717-211351.png
    192.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220713-194245.png
    229.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220713-194118.png
    155.5 KB · Views: 4
Hii awamu ya sita haijatokea hewani.
Imepokea nchi ikiwa na mipango mikubwa sana, contract za matrillion zimesainiwa na hazijakamilika. mfano JNHPP/ SGR tu, ni zaidi ya trillion 20. Na awamu iliyotangulia ajira mpya serikalini ilikuwa ni ndoto, nyongeza ya mishahara kwa miaka 6 ilikuwa ni ndoto yote ni kuhakikisha miradi inakamilika.

Awamu ya sita imebeba vyote vilivyoshindwa kufanywa na awamu ya tano. kuongezwa kwa tozo ni kuhakikisha ya awamu ya tano hayakwami na ambayo hawakuwezekana awamu ya tano kwa miaka sita yanafanyika.
 
Weka data zako ambazo sio za kwenye magazeti badala ya kuharisha kwa kutumia mdomo badala ya tundu la huko back
fakeni kabsia yani unasupport tozo kuongezwa na kukopa kila siku.... ntapigwa ban bure maana mnanitia hasira nyie machoko
 
fakeni kabsia yani unasupport tozo kuongezwa na kukopa kila siku.... ntapigwa ban bure maana mnanitia hasira nyie machoko
Kodi umelipa kiasi gani? wakulalamika kodi ni akina Bakhresa sio wewe kapuku.
 
Kodi umelipa kiasi gani? wakulalamika kodi ni akina Bakhresa sio wewe kapuku.
hadi bibi ako aliepo kula kijijini ambao hata mlo mmoja ni shida tozo zinamkamua hasaaa... akinunua umeme tozooo...ukimtumia kelfu 2 tozoo hao ndo tunaowaongelea hapa bakhresa ukute anatoa hongo tu na sio kodi
 
Hao ndio huwa wakikutana na hizi kazi huwa hawaongei kitu,

Wakipitishwa maeneo kama haya chini huwa wanaiponda sana serikali na wakati kodi hawalipi
 
Kodi umelipa kiasi gani? wakulalamika kodi ni akina Bakhresa sio wewe kapuku.
ndo tofauti ya magu na mama... sasa maboss hata hawawazi huo utopolo wa kodi maana no body cares ila makapuku ndo wanalia
 
hadi bibi ako aliepo kula kijijini ambao hata mlo mmoja ni shida tozo zinamkamua hasaaa... akinunua umeme tozooo...ukimtumia kelfu 2 tozoo hao ndo tunaowaongelea hapa bakhresa ukute anatoa hongo tu na sio kodi
Kabla hujaitukana serikali kwenye suala la kodi jilulize kwenye hizo hizo kodi mnazopigia kelele serikali inakusanya TZS ngapi? Mahitaji ya kumridhisha kila mtanzania nchi nzima ni TZS ngapi kwa mwaka (bajeti). Ndio tutaelewana
 
wewe jizungushe tu ila ndugai anaijua hii nchi kuliko wew tumbili maji....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…