Si tegemei mtu kupata taarifa za nchi hii kama wewe, niko independent kwa kila kitu, nasoma natafuta taarifa na vikao vya bunge nashiriki vizuri tu.wewe jizungushe tu ila ndugai anaijua hii nchi kuliko wew tumbili maji....
Kwani huyo mwigulu anajiamulia mwenyewe kuweka hizo tozo au anatumwa na wakubwa zake? Jaribuni kutumia common sense,yaan unataka kusema Samia hausiki na hizo tozo bali Mwigulu kaamka tu kuzileta?yani haya yote hayawezi kubadilika kama Mwigulu bado yupo palee... mama aanze upyaa kwenye wizara ya fedha hata kama analipa fadhilaa huu ni upuuzi huwezi kuwa na waziri yeye kazi yake kukwapua hela kwa kutumia KODI ZA OVYOO kila sikuuu... kuna siku hadi makanisa yatatozwa kodi kwenye sadaka tunazotoa
Sikia we kimaHizo ni rate mpya na infact zimepunguzwa,kwani hujui kwamba transactions zimepunguzwa kwa 43%?
Tatizo lenu Mnakurupukia mkijua ni Kodi mpya wakati ilikuwepo toka mwaka Jana.
unashiriki vizuri kumbe haya mhe endeleeni kuilaa nchi... sitegemei taarifa za ndugai ila alijitoa muhanga kusema ukweli wa nini kinaendeleaSi tegemei mtu kupata taarifa za nchi hii kama wewe, niko independent kwa kila kitu, nasoma natafuta taarifa na vikao vya bunge nashiriki vizuri tu.
🤣 🤣 🤣 🤣 Keyboard worrior unategemea taarifa za Ndugai????????
Zimezidi Kwa kipimo gani? Kuna mjomba wako wa kukujengea Nchi?Sikia we kima
Swala si mpya wala za zamani bali tozo zimezidi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ndugai yuko wapi saizi? 😂😂😂😂wewe jizungushe tu ila ndugai anaijua hii nchi kuliko wew tumbili maji....
amkaa ukafagie uwanja shemeji atakutimua...Mimi naanza na wewe 👇
amkaa ukafagie uwanja shemeji atakutimua...
Mzee unachekesha mimi najitambua na ni mzalendo kweli kweli,bila Kodi hakuna maendeleo Wala huduma so ulalamishi wako hautakusaidia..amkaa ukafagie uwanja shemeji atakutimua...
yeye ndo waziri muhusika anapaswa kuwa mshauri mzuri wa rais kuwa hiki sio sawaa..Kwani huyo mwigulu anajiamulia mwenyewe kuweka hizo tozo au anatumwa na wakubwa zake? Jaribuni kutumia common sense,yaan unataka kusema Samia hausiki na hizo tozo bali Mwigulu kaamka tu kuzileta?
mimi mwenyewe ni mchumi
Kipi sio sawa?yeye ndo waziri muhusika anapaswa kuwa mshauri mzuri wa rais kuwa hiki sio sawaa..
Ili unisaidie nini nikikuonesha?Show me your degree and certified TRANSCRIPTS from an accredited NOTARY PUBLIC and COMMISSIONER FOR OATHS.
Mkuu kama ni mnufaika wa huu utawala ni bora uwe unapiga kimya tu kuliko unavyowasafisha na kuwasifia kila siku.Zilizopunguzwa kwenye miamala mbona hujaja kuuliza?
Hujui uchumi wowote wewe oya oya tu wa kawaida.Ili unisaidie nini nikikuonesha?
Ulivyo fala,nani kakwambia Economists Wana certify vyeti?
Jikite kwenye hoja na uliza swala lolote la Kiuchumi nitakujibu
mpuuzi mmoja huyo nishamblock ajiongeleshee mwenyeweHujui uchumi wowote wewe oya oya tu wa kawaida.
Bila kumpamba samia mitandaoni huendi chooni wewe.
Na ukizingua tunakunyuka pia.
Haya, nioneshe vyeti vyako vya chuo kikuu vyenye muhuri wa kamishna wa viapo!
Ni kweli mimi ni mnufaika maana huduma zote na miradi yote inaanzishwa kwa ajili ya mimi na wewe..Mkuu kama ni mnufaika wa huu utawala ni bora uwe unapiga kimya tu kuliko unavyowasafisha na kuwasifia kila siku.
Tunaoumia ni wengi kuliko ninyi mnao lamba asali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mimi na wewe nani hajui uchumi? Unajua hata maana ya hiyo statement kwenye ID yangu?Hujui uchumi wowote wewe oya oya tu wa kawaida.
Bila kumpamba samia mitandaoni huendi chooni wewe.
Na ukizingua tunakunyuka pia.
Haya, nioneshe vyeti vyako vya chuo kikuu vyenye muhuri wa kamishna wa viapo!